Mxo naye kawa nunda kwelikweli, inawezekana kuna kitu anajua. Maana sasa anamuita Xulu jina lake halisi et Ghabhashe, siyo la heshima kama mzazi wake. Na Ayanda naye anamuita Xulu Baba,

niaje wakuu
mxo kwahiyo atafute pa kwenda ama?
maana xulu kamwambia mkewe ukweli anachekesha sana eti "i feel sorry for you" yupogo kama mbongoπππ

Bado mkewe hajaamini kuwa watoto wamebadilishwa na Ayanda ni mwana wao. Mangcobo na Xulu wamekwenda hospitali kumtafuta yule nesi aliyemueleza vile pamoja na rekodi zao lakini hakuna kilichopatikana.
Ila nina wasiwasi na yule Amandla kuwa siyo mtoto wa Xulu, ni wa kuzushiwa tu.