Nombuso anatamaa sanaa anakera kiukweli.... ila apo mxo atakuja tu kulegea maana penzi lisha mnogea apo ayanda ajiandae kuibiwa maana anaenda kuoa mama hurumaKwa kweli hakuna mtu ninayemchukia kwa sasa kama nombuso.
Yaani haoni aibu kuchanganya wanaume ambao hawaelewani..!
Kamkubalia ayanda wa watu na huku anajirudi kwa mxo, tena kavalishwa na pete kanisa linajua..! Dah umalaya uliopitiliza.. Shit.. Bora mxo kamchana ukweli hana msimamo huyu demu kichwa box kabisa.
Naona pastor mwengine wa muda katia team.. Asije tu kuwa kama yule nkosi. ππ
Nosipho nae malaya sana leo ana bahati thobile angemfanyia mbaya sana.
Bado nna hasira na nombuso..
Vera ginger, Jagiya.
Nombuso anazingua, kama hajakua vile sasa naenda kum-please tena mxo wa nini wakati huku ameshakubali kuolewa na Ayanda[emoji21][emoji21]Kwa kweli hakuna mtu ninayemchukia kwa sasa kama nombuso.
Yaani haoni aibu kuchanganya wanaume ambao hawaelewani..!
Kamkubalia ayanda wa watu na huku anajirudi kwa mxo, tena kavalishwa na pete kanisa linajua..! Dah umalaya uliopitiliza.. Shit.. Bora mxo kamchana ukweli hana msimamo huyu demu kichwa box kabisa.
Naona pastor mwengine wa muda katia team.. Asije tu kuwa kama yule nkosi. [emoji3][emoji3]
Nosipho nae malaya sana leo ana bahati thobile angemfanyia mbaya sana.
Bado nna hasira na nombuso..
Vera ginger, Jagiya.
Huyo bonge Thobile alifundishwa na mama yake Nosipho jinsi ya kumfundisha adabu mwanamke aliyezoea kuiba waume za wenzie sasa jana ndio alitumia huo ushauri.Nombuso anatamaa sanaa anakera kiukweli.... ila apo mxo atakuja tu kulegea maana penzi lisha mnogea apo ayanda ajiandae kuibiwa maana anaenda kuoa mama huruma
nosi bora ajikatae tuu maana alikua anaingilia penzi la chizi fresh[emoji28]
Hahaaha Nombuso jogoo la shambaKwa kweli hakuna mtu ninayemchukia kwa sasa kama nombuso.
Yaani haoni aibu kuchanganya wanaume ambao hawaelewani..!
Kamkubalia ayanda wa watu na huku anajirudi kwa mxo, tena kavalishwa na pete kanisa linajua..! Dah umalaya uliopitiliza.. Shit.. Bora mxo kamchana ukweli hana msimamo huyu demu kichwa box kabisa.
Naona pastor mwengine wa muda katia team.. Asije tu kuwa kama yule nkosi. [emoji3][emoji3]
Nosipho nae malaya sana leo ana bahati thobile angemfanyia mbaya sana.
Bado nna hasira na nombuso..
Vera ginger, Jagiya.
Mama huruma[emoji23]Nombuso anatamaa sanaa anakera kiukweli.... ila apo mxo atakuja tu kulegea maana penzi lisha mnogea apo ayanda ajiandae kuibiwa maana anaenda kuoa mama huruma
nosi bora ajikatae tuu maana alikua anaingilia penzi la chizi fresh[emoji28]
Hajui kuwa ayanda ni player kiungo mkali akiamua..Hahaaha Nombuso jogoo la shamba
Nasubiria Ayanda akimshtukia atamchezea na kumuumiza
Halina akili hilo demu mkuuNombuso anazingua, kama hajakua vile sasa naenda kum-please tena mxo wa nini wakati huku ameshakubali kuolewa na Ayanda[emoji21][emoji21]
Ayanda mshamba sana alimwacha Nkule akasepa Jozi kisa huyu Binti na huyu Binti kitambo alionyesha kumkubali Mxolisi.Halina akili hilo demu mkuu
Yaani ni limama huruma na halina msimamo kabisa litachezewa tu
SBU na naona kwenye episode za mbele msela anarudi ππHebu tutaje favorite character wetu kila mtu na wake.
Sisi tulijuaga kabisa kuwa Karma itamtafuna, alimuumiza sana nkule wa watu yaani kalikuwa kanampenda ayanda kinoma acha na yeye akome kidogoAyanda mshamba sana alimwacha Nkule akasepa Jozi kisa huyu Binti na huyu Binti kitambo alionyesha kumkubali Mxolisi.

basi ilikua bonge la lessonHuyo bonge Thobile alifundishwa na mama yake Nosipho jinsi ya kumfundisha adabu mwanamke aliyezoea kuiba waume za wenzie sasa jana ndio alitumia huo ushauri.
sanaa tuMama huruma[emoji23]
Mwanangu huyu sbu muhuni sana yaani ana mitikasi mingi sana.SBU na naona kwenye episode za mbele msela anarudi ππ View attachment 1937624
Dah ya leo inaonekana kali eeh, mimi imenipita ngoja nivizie narudio keshOMwanangu huyu sbu muhuni sana yaani ana mitikasi mingi sana.
Kila akija lazima akiwashe.. Bila shaka atakuja na mpya.
Leo naona MK kacheza kama pele kesi imegeuka juu chini. [emoji3][emoji3]
Mxo akiwa na nombu demu mshamba akadakwa na dhlomo bado mastermind tu. [emoji3]
Judge kacheza kama pele. Msala umegeuka.
Yaani ayanda atakoma sana kwa huyu nombu. Alijifanya kumuumiza nkule wa watu hadi demu akaenda zake, sasa acha akione.
Huyu phindile naona ni mtu wa dili kawageukia kwa mama xulu sasa anataka urithi eti amandla ni damu ya xulu [emoji3][emoji3][emoji3] mama mxo kamtimua.
Mambo sio powa mkuu wangu ..
Huyu Binti mizinguo sana inaonesha hafulahii kuolewa na Ayanda na pia Mxolisi kaanza kujirudisha mdogomdogo kwahiyo lolote linaweza kutokea tu.Yaani ayanda atakoma sana kwa huyu nombu. Alijifanya kumuumiza nkule wa watu hadi
Imagine Ayanda na Amandla ni mtu na mdogo wake hahahaa ila phindile anaonekana ni mapepe sana.Huyu phindile naona ni mtu wa dili kawageukia kwa mama xulu sasa anataka urithi eti amandla ni damu ya xulu πππ mama mxo kamtimua.
Jamaa kapindua meza kirahisi sana.Leo naona MK kacheza kama pele kesi imegeuka juu chini. ππ