Uzalishaji wa mende kwa matumizi ya binadamu na mifugo pamoja na masoko yake

stellahthatcher

Senior Member
Oct 14, 2015
168
164
Msimu mwingine wa Soko la Wazi la Mkulima Market umewadia ni 30 Agosti-2 Septemba 2017. Soko hili la wazi litafanyika kwenye Maegesho ya Magari ya Research Flats, mbele ya Jengo la Ndaki ya Kilimo na Teknolojia za Uvuvi (CoAF) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuanzia saa 3 asubuhi hadi jioni.

Karibu ujifunze ufugaji wa mende, samaki, nyuki na kuku


=============================================================================

 
stella tufafanulie aisee Mende wana kazi gani au kuuzia wanafunzi kwa ajili ya dissection, pili kama una grp la whatsapp kuhusu ufugaji wa hayo mengine weka link tujiunge moja kwa moja
 
China Wanafuga funza kwa ajili ya kulishia nguruwe, kuku na Bata mzinga. Wanakuwa haraka sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…