Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,660
- 55,920
Hiyo ni political narrative iliyotwngezwa na chama tawala kuwaaminisha watu huo ndio uzalendo, true uzalendo its all about country sio chamaMada nzuri hii. Na sijui kwanini dhana ya uzalendo ni lazima uwe kada mtiifu wa chama fulani.