Uzalendo kwa Taifa letu - Tanzania

Uzalendo kwa Taifa letu - Tanzania

Hii nchi imekuwa ya ajabu sana kiasi unaweza tamani ukamate watu uwafunge mpaka kiama. Taifa linapita nyakati ngumu ktk kuimarisha uchumi wake ambao wakubwa walisha gawana nakutaka kutusulubu.

Sasa Mzee wa watu anasimamia masilahi mapana ya taifa hili ili vizazi vijavyo visije sema hawa wazee walikuwa wajinga kiasi gani leo majinga machache yalio zowea kula pasipo kutoka jasho wanasimama nakumkatisha tamaa Rais wetu kweli kweli jamani hivi tunafuwatilia mataifa ya jirani na africa wanavyo lia hivi kweli tunapata wapi ujasiri kumng'ong'a Rais alie jitoa kwa watu wake.

Hivi mnafikiri mtaishi milele?
Leo ngoja niwaambie kuwa huo ukuwadi wenu ukifanikiwa hata nyie hamtofaidika na mali ya dhuluma mtakayo ipata mnafikiri mnamchafuwa Rais ila wote mtakuwa uchi na mtajutia dhambi ya usaliti tunamuitaji sana huyu Rais nakuliko aina hii ya ukosoaji bora kukaa kimya au kushauri.

Hii ni laana kwa taifa nawaambia choz lake haliwezi kuwaacha salama na wala kama taifa hatuwez kuwa salama ndio maamuz ni magumu ila ktk hali ya sasa let us unity as Tanzanian.
I thank you
Crap.
 
Yani umewalaani watanzania kisha umemalizia kwa kutaka kuungana nao!!!Kweli we umelaaniwa yani unataka watz waungane wakati mwenzao kapigwa risasi 38 na wengine hawajulikani walipo huku watumishi wakidhulumiwa madeni wanayoidai serikali???Yani wanaoteka watu kila uchao waungane na watekwaji wa kila uchao kisa kuna blablabla za uchumi wa kushitakiwa kimataifa na kulipishwa matilioni ya kodi za waunganaji?Waungane???Na nani sasa? We laana ya wanyonge wa kweli wanaoteseka kwa sababu ya majambazi walioko kusikojulikana waliojibadilisha kuwa ndio mahakama bunge, walanguzi wa mazao ya wakulima, wafanyabiashara za binadamu kwa kisingizio cha kuhama vyama. Punguani kweli wewe.
 
Hii nchi imekuwa ya ajabu sana kiasi unaweza tamani ukamate watu uwafunge mpaka kiama. Taifa linapita nyakati ngumu ktk kuimarisha uchumi wake ambao wakubwa walisha gawana nakutaka kutusulubu.

Sasa Mzee wa watu anasimamia masilahi mapana ya taifa hili ili vizazi vijavyo visije sema hawa wazee walikuwa wajinga kiasi gani leo majinga machache yalio zowea kula pasipo kutoka jasho wanasimama nakumkatisha tamaa Rais wetu kweli kweli jamani hivi tunafuwatilia mataifa ya jirani na africa wanavyo lia hivi kweli tunapata wapi ujasiri kumng'ong'a Rais alie jitoa kwa watu wake.

Hivi mnafikiri mtaishi milele?
Leo ngoja niwaambie kuwa huo ukuwadi wenu ukifanikiwa hata nyie hamtofaidika na mali ya dhuluma mtakayo ipata mnafikiri mnamchafuwa Rais ila wote mtakuwa uchi na mtajutia dhambi ya usaliti tunamuitaji sana huyu Rais nakuliko aina hii ya ukosoaji bora kukaa kimya au kushauri.

Hii ni laana kwa taifa nawaambia choz lake haliwezi kuwaacha salama na wala kama taifa hatuwez kuwa salama ndio maamuz ni magumu ila ktk hali ya sasa let us unity as Tanzanian.
I thank you
Magufuli mwizi kama wezi waliomtangulia, tofauti ni kuwa yeye ni mwizi dictator,
 
Mkuu usiumize Sana kichwa, serikali ipo kazini, vigogo wote na akina Zitto & Co LTD na takataka zote mpaka za Jamii forums zinazojaribu kuiyumbisha serikali zipo kwenye list ya follow up matata Sana.Huu mchezo hauhitaji hasira ila nakuhakikishia katika System za serikali ambazo sio za kuchukulia poa mojawapo ni ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,. mpaka June mwakani utakuwa umeelewa ninachomaanisha hapa leo,hakuna jiwe juu ya jiwe litakalosalia kinachotafutwa ni namna ya kudeal na mmoja baada ya mwingine kulingana na uzito wake.Wazungu wapo kazini ila sisi tupo DK 5 mbele yao sababu ni nchini kwetu.TAKE IT FROM ME.
Hizo system zenu ambazo zimeshindwa kupata solo LA korosho tupa kule,

Miaka 50 nchi masikini hizo system za kazi gani
 
Wakati wanagawana na kuandika mikataba mibovu, huyo unaemuona ati mzalendo, si alikuwa kwenye baraza la mawaziri..? si alikuwa ni member wa sisiemu..? si alikuwa mbunge..? Alisaidia vipi kuzuia hiyo mikataba isisainiwe wakati ilikuwa inapita kwenye baraza la mawaziri..? Leo anapata wap ujasiri wa kujiita yeye ndio mkombozi na mzalendo namba moja..? Toeni unafiki wenu hapa..

Ati uzalendo, nenda kwa wazazi wa Akwilina uwaambie wawe wazalendo, au kwa waliopigwa risasi ili huyo mzalendo namba moja atawale kwa mabavu..
Stupid..
 
Kwa sheria hizi kandamizi, uzalendo unaondoka automatically. Huwezi kupanda magugu (chuki) ukatarajia kuvuna mpunga (upendo). NEVER

1. Sheria ya mitandao, kufungia blogs
2. Sheria ya mafao kwa wastaafu
3. Sheria ya vyombo vya habari

Iweje jamaa anatangaza bifu na kula sahani moja na kila mtu akipanda jukwaani?
Hii nchi imekuwa ya ajabu sana kiasi unaweza tamani ukamate watu uwafunge mpaka kiama. Taifa linapita nyakati ngumu ktk kuimarisha uchumi wake ambao wakubwa walisha gawana nakutaka kutusulubu.

Sasa Mzee wa watu anasimamia masilahi mapana ya taifa hili ili vizazi vijavyo visije sema hawa wazee walikuwa wajinga kiasi gani leo majinga machache yalio zowea kula pasipo kutoka jasho wanasimama nakumkatisha tamaa Rais wetu kweli kweli jamani hivi tunafuwatilia mataifa ya jirani na africa wanavyo lia hivi kweli tunapata wapi ujasiri kumng'ong'a Rais alie jitoa kwa watu wake.

Hivi mnafikiri mtaishi milele?
Leo ngoja niwaambie kuwa huo ukuwadi wenu ukifanikiwa hata nyie hamtofaidika na mali ya dhuluma mtakayo ipata mnafikiri mnamchafuwa Rais ila wote mtakuwa uchi na mtajutia dhambi ya usaliti tunamuitaji sana huyu Rais nakuliko aina hii ya ukosoaji bora kukaa kimya au kushauri.

Hii ni laana kwa taifa nawaambia choz lake haliwezi kuwaacha salama na wala kama taifa hatuwez kuwa salama ndio maamuz ni magumu ila ktk hali ya sasa let us unity as Tanzanian.
I thank you
 
Wakati wanagawana na kuandika mikataba mibovu, huyo unaemuona ati mzalendo, si alikuwa kwenye baraza la mawaziri..? si alikuwa ni member wa sisiemu..? si alikuwa mbunge..? Alisaidia vipi kuzuia hiyo mikataba isisainiwe wakati ilikuwa inapita kwenye baraza la mawaziri..? Leo anapata wap ujasiri wa kujiita yeye ndio mkombozi na mzalendo namba moja..? Toeni unafiki wenu hapa..

Ati uzalendo, nenda kwa wazazi wa Akwilina uwaambie wawe wazalendo, au kwa waliopigwa risasi ili huyo mzalendo namba moja atawale kwa mabavu..
Stupid..
Uliona nashirikiana nao? Angefanya hivyo unadhani Barabara hizi leo hii unazopita zingekuwepo?!?!?!?!?!??!?!??!?!?!? Yeye alichojua ni kazi Tu! Waulize waliokuwa Mawaziri mpaka aliomba kutohudhuria mikutano as alion ni wastage of time!
 
Hii nchi imekuwa ya ajabu sana kiasi unaweza tamani ukamate watu uwafunge mpaka kiama. Taifa linapita nyakati ngumu ktk kuimarisha uchumi wake ambao wakubwa walisha gawana nakutaka kutusulubu.

Sasa Mzee wa watu anasimamia masilahi mapana ya taifa hili ili vizazi vijavyo visije sema hawa wazee walikuwa wajinga kiasi gani leo majinga machache yalio zowea kula pasipo kutoka jasho wanasimama nakumkatisha tamaa Rais wetu kweli kweli jamani hivi tunafuwatilia mataifa ya jirani na africa wanavyo lia hivi kweli tunapata wapi ujasiri kumng'ong'a Rais alie jitoa kwa watu wake.

Hivi mnafikiri mtaishi milele?
Leo ngoja niwaambie kuwa huo ukuwadi wenu ukifanikiwa hata nyie hamtofaidika na mali ya dhuluma mtakayo ipata mnafikiri mnamchafuwa Rais ila wote mtakuwa uchi na mtajutia dhambi ya usaliti tunamuitaji sana huyu Rais nakuliko aina hii ya ukosoaji bora kukaa kimya au kushauri.

Hii ni laana kwa taifa nawaambia choz lake haliwezi kuwaacha salama na wala kama taifa hatuwez kuwa salama ndio maamuz ni magumu ila ktk hali ya sasa let us unity as Tanzanian.
I thank you
Mimi ningekuwa wewe, ningemwambia ukweli kwamba, "pamoja na nia nzuri na njema uliyonayo kwa Watanzania, ingekuwa kwenye paredi wangesema, Umekosea mguu wa kuondokea, umeanzia wa kulia. Vita hii ni kubwa, unashindana na watu ambao wanatafuta 'star gate' wakati sisi bado tunahangaika na matundu ya vyoo.
Hivyo basi mguu sahihi ulikuwa wa kushoto ambao ni kuunganisha Taifa lililoanza kugawanyika. Juhudi zifanyike kuondoa itikadi za kisiasa. Kaa pamoja na wapinzani hata ikibidi kufanya marekebisho ya katiba na kuwajumuisha katika serikali yako. Hapo Taifa litaongea lugha moja iliyo chujwa sawasawa. Hujachelewa unaweza kubadili mguu huku ukiendelea na paredi. 'Askari wanajua' ukisimama au ukiendelea hivyohivyo kwenye paredi utaitwa 'Nanga'. Madhara ya nanga kwenye paredi huku singe zikiwa nyuma ya shingo yanajulikana. Mungu ibariki Tanzania."
 
Hii nchi imekuwa ya ajabu sana kiasi unaweza tamani ukamate watu uwafunge mpaka kiama. Taifa linapita nyakati ngumu ktk kuimarisha uchumi wake ambao wakubwa walisha gawana nakutaka kutusulubu.

Sasa Mzee wa watu anasimamia masilahi mapana ya taifa hili ili vizazi vijavyo visije sema hawa wazee walikuwa wajinga kiasi gani leo majinga machache yalio zowea kula pasipo kutoka jasho wanasimama nakumkatisha tamaa Rais wetu kweli kweli jamani hivi tunafuwatilia mataifa ya jirani na africa wanavyo lia hivi kweli tunapata wapi ujasiri kumng'ong'a Rais alie jitoa kwa watu wake.

Hivi mnafikiri mtaishi milele?
Leo ngoja niwaambie kuwa huo ukuwadi wenu ukifanikiwa hata nyie hamtofaidika na mali ya dhuluma mtakayo ipata mnafikiri mnamchafuwa Rais ila wote mtakuwa uchi na mtajutia dhambi ya usaliti tunamuitaji sana huyu Rais nakuliko aina hii ya ukosoaji bora kukaa kimya au kushauri.

Hii ni laana kwa taifa nawaambia choz lake haliwezi kuwaacha salama na wala kama taifa hatuwez kuwa salama ndio maamuz ni magumu ila ktk hali ya sasa let us unity as Tanzanian.
I thank you
Uzalendo maana yake nini?
 
[emoji41][emoji41][emoji41]
Hebu%20jaribu%20kueleza%20ujumbe%20una%C3%B2jitokeza%20kwenye%20mchoro%20huu%20wa%20katuni%20...jpeg
 
Uliona nashirikiana nao? Angefanya hivyo unadhani Barabara hizi leo hii unazopita zingekuwepo?!?!?!?!?!??!?!??!?!?!? Yeye alichojua ni kazi Tu! Waulize waliokuwa Mawaziri mpaka aliomba kutohudhuria mikutano as alion ni wastage of time!

Wewe ni Jiwe..? Punguza basi munkari.. Barabara wewe si ulikuwa unamsifia bosi wako Jk aendelee kuomba tu ili ziendelee kujengwa.. Halafu ukumbuke wizara yako ilikuwa na msala wa zaidi ya Tshs. bilioni 200.. Uligoma kuzitolea maelezo.. Wakumbuka..? Halafu ni lini uliomba kutohudhuria vikao..?
 
Mkuu usiumize Sana kichwa, serikali ipo kazini, vigogo wote na akina Zitto & Co LTD na takataka zote mpaka za Jamii forums zinazojaribu kuiyumbisha serikali zipo kwenye list ya follow up matata Sana.Huu mchezo hauhitaji hasira ila nakuhakikishia katika System za serikali ambazo sio za kuchukulia poa mojawapo ni ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,. mpaka June mwakani utakuwa umeelewa ninachomaanisha hapa leo,hakuna jiwe juu ya jiwe litakalosalia kinachotafutwa ni namna ya kudeal na mmoja baada ya mwingine kulingana na uzito wake.Wazungu wapo kazini ila sisi tupo DK 5 mbele yao sababu ni nchini kwetu.TAKE IT FROM ME.
Pangeni mauaji ila kuweni makini,sasahivi tukiona gari zinatufutlatilia ni risasi kwenda mbele!Nife na wao wafe!
 
Mkuu usiumize Sana kichwa, serikali ipo kazini, vigogo wote na akina Zitto & Co LTD na takataka zote mpaka za Jamii forums zinazojaribu kuiyumbisha serikali zipo kwenye list ya follow up matata Sana.Huu mchezo hauhitaji hasira ila nakuhakikishia katika System za serikali ambazo sio za kuchukulia poa mojawapo ni ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,. mpaka June mwakani utakuwa umeelewa ninachomaanisha hapa leo,hakuna jiwe juu ya jiwe litakalosalia kinachotafutwa ni namna ya kudeal na mmoja baada ya mwingine kulingana na uzito wake.Wazungu wapo kazini ila sisi tupo DK 5 mbele yao sababu ni nchini kwetu.TAKE IT FROM ME.

Hilo la kuumiza wote wasiosujudia mienendo yenu mnaliweza kwa asilimia mia moja. Wala huhitaji kujigamba nalo kwani liko wazi mno. Hata muue na kuumiza wengi kiasi gani haiondoi ukweli hamna uwezo wa uongozi bora zaidi ya mabavu. Fanyeni mtakalo kwa kuongozwa na nia ovu, lakini hicho ni kiburi cha muda fulani tu na mwisho wake utafika tu hata mkiwa wazee. Hata manabii wa Mungu hawakuwahi kusujudiwa wala kuungwa mkono na wote, sembuse nyie mnaoingia madarakani kwa dhuluma za wazi? Namna pekee ni kijirekebisha tu, ndita zitawafanya kuendelea kukaa madarakani na wala sio furaha, furaha ya kweli huletwa kwa kutendea wengine haki full stop. Jazba haikubebi kwenye ukweli.
 
Habari za Leo,

Leo nataka kuongelea kitu uzalendo na utaifa, Watanzania nasikitika kusema baadhi ya watanzania wamekosa hivi vitu viwili Uzalendo na Utaifa! Na sema haya kwakuwa naona baadhi ya matendo yanayofanyika yakiwa hayana chembe ya vitu hivi nilivyovitaja!

Kwanza nianze kusema kutokana tangu tuwe na mfumo wa vyama vingi kuanzia 1992, hapo tulihitaji kupata elimu ya uraia ya kujua umuhimu wa kuwa na vyama vingi,pia ilitakiwa kuelezwa katika yote lazima utangulize uzalendo na utaifa kwa mtu wa kawaida ukiwa na haya mambo mawili basi ujue autayumbishwa.

Pia ilitakiwa hii elimu ipelekwe katika vyombo vya Dola maana zamani nakumuka kabla ya vyama vingi siasa ilikuwa katika hivi vyombo vya dola na ilishika atamu kwa kudumisha fikra za Mwenyekiti ila baada ya kuanzisha mfumo wa vyama vingi watumishi wa.serikali hawatakiwi kujihusisha na siasa bali wataruhusiwa kumchagua rais wamtakaye!na Mbunge Diwani!

Ila katika haya yote nililoliona kulikuwa na Ombwe (Vacuum)ya kukosa Elimu ya Uraia hivyo kukosa sifa za kuwa wazalendo na wataifa! Mfano wapinzani wamekosa uzalendo na utaifa wamebaki kuwa wapinga kila kitu hata linapokuja suala la kitaifa wamekosa utaifa!

Serikali inapambana na wezi wa madini wapinzani wanasema serikali inatumia nguvu,serikali inapambana na mafisadi wapinzani wanasema katiba aifuatwi! Moja kwa moja nikukosa utaifa nadhani vitu vinavyo husu taifa tuwe na utaifa kama atuwezi ku adopt uzalendo.

Siku njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu mimi naamina watanzania ni wazalendo kwenye nchi yao, tatizo ni wahutu kutuharibia maana ya uzalendo, wakatafsiri uzalendo ni kupenda chama fulani na sio kujitolea kwa taifa lako kama zamani!
 
Siku hizi neno uzalendo limegeuzwa kuwa ubeberu. Na mabeberu wakizungumza kwa maslahi yao binafsi wanatwa ni wazalendo wale waliongea kwa maslahi mapana ya taifa wanaambiwa ni mabeberu au wanatumiwa na Wazungu .
Je huyu rais uzalendo wake ni upi? Kutohojiwa upotevu wa t 1.5 ni uzalendo?
 
Mleta uzi jiongeze kielimu ujue tofauti ya uzalendo kwa taifa na serekali. Wekeni mikataba ya raslimali wazi tujue wazalendo wa kweli.
 
Back
Top Bottom