kamati ya mwakyembe ilipendekeza hili, takribani miaka 11 iliyopita wakati wa sakata la richmond. Lakini wale wanaotaka kuitwa wazalendo bado wanasaini mikataba ya nchi gizani! kwenye giza kuna uovu mwingi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.