Uza Tecno P3 Price 70 nipo Mbeya

Uza Tecno P3 Price 70 nipo Mbeya

pozzyfaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
1,453
Reaction score
268
mwenye cm tajwa hapo juu tesco p3 au android anitafute kwa no.0754078015. nipo mkoani mbeya price yangu ni sh. 70 elfu na sio $
 
Mkuu nilisema nipe 120000 L3! Nipo mbeya na cm ina hali nzuri sana!
 
Kununua P3 kwahiyo bei lazima itakua used si kidogo.

Nashindwa guarantee, Tecno as low quarity phone, ikiwa used sijui utakaa nayo siku ngapi.

Jipinde uongeze pesa kanunue shop Tsh 130,000.
 
bado cjapata cm, mwenye nayo aje tufanye biashara
 
acha kuidhalilisha p3 ,yaani ninunue simu kwa 150k niuze 70k si ni ujinga
 
soma tangazo ndio ujibu. Sasa kitu used unataka uuze ile ile laki na nusu.
 
akuna shida kaka nitagharamia mwenyewe usafiri upo dar sehem gani tufanye biashara
 
sawa nitakagua kabla ya kuupokea msiba wenyewe
 
cm tajwa hapo juu inahitajika mapema sana
 
wadau cm nimetafuta mpaka bac. akuna wa kuuza, au akuna anayetaka pesa ya cku kuu
 
aky naongeza dau mwenye nayo ajitokeze tufanye biashara
 
Back
Top Bottom