Wanaomuongea vibaya ni kwa sababu ni viumbe dhaifu vilivyotegemea mteremko na kuzoezwa a hadi idealistic huku wakiicheleweshea maendeleo jamii.
Ni kwa wingi upi?
Lowasa apite kwenda wapi? Na kama nani hapa tz?Hebu acheni na Lowasa apite na kuongea na watu ili tupime. Hakuna asiye na wafuasi hata kidogo hapa duniani, hata awe katili vipi.
Mkuu ina maana huyaoni hayo maandishi yanayoendelea?