nyankolo komoyo
Member
- Sep 14, 2015
- 18
- 3
ndugu saiz niko vibaya kichwani yaan najihis kama kimbe ambae nimekosewa kuletwa duniani
jaman utatima ni tauchukia milele daima mpaka sasa najiandaa kuacha masomo niliokua nikisoma katika chuo cha afya kwa sababu sina wa kunilipia karo ili nindelee na masomo daaa bora ningeli fariki mimi alie ni zaa abaki mpaka sasa nashindwa la kufanya nianzie wapi niishie wapi sina hata senti mia na chuo tunafungua 2 january hakika nimeamini ukiwa huna wazazi wala ndugu huwajui ni bora kufa kuliko kuishi jamani
ndugu saiz niko vibaya kichwani yaan najihis kama kimbe ambae nimekosewa kuletwa duniani
jamani mie nawaombeni tu kama kuna mtu anaeweza kusimamia ili nisome nimalize anisaidie jamani kwa makubaliano ya maandishi pindi nikipata ajira mie nitarejesha pesa yake na riba na vyeti atakua amevimiliki yeye jamani
hapana bob luse nilitaka niweke picha ila hii sim ninayo itumia inagoma