UWT yakabiliana na chadema Dodoma

samirnasri

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
1,388
213
Katika kile kinachoelezwa kuwa ni mkakati wa vyama vya siasa kusaka mtaji wa wanafunzi wa vyuo vikuu umoja wa wanawake wa ccm tanzania (UWccmT) jana jumapili uliandaa mkutano na wanafunzi wa kike wa vyuo vikuu vya mkoa wa dodoma uliofanyika katika ukumbi wa kilimani ili kupunguza nguvu ya chadema ambao nao walikuwa wameandaa kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani humo siku hiyo hiyo. UWccmT iliandaa magari kwa ajili ya kuwabeba wanafunzi kuelekea kilimani na baadaye kuwarudisha vyuoni. Dada mmoja kutoka udom aliyehudhuria mkutano huo anasema yeye alienda kwa ajili ya kula na kunywa na alitimiza adhma yake kama alivyokuwa amepang kwa kuwa ccm waliandaa mapochopocho kibao. Ajenda kubwa ya mkutano huo ilikuwa ni kuwasihi wanafunzi wasigome kwa kuwa wanasiasa hawatafukuzwa chuo bali ni wao ndio wataathirika. Kulikuwa pia na ajenda ya kuipasha chadema ambapo mtoa mada mmoja ambaye sikuweza kupata jina lake alimponda godbless lema na kusema ameishia kidato cha pili na kwamba alikuwa muosha magari hivyo wasomi hawapaswi kumsikiliza.(sina hakika kama kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya elimu na siasa). UWccmT waliwasihi akina dada hao wanunue kadi za ccm ambazo zinapatikana vyuoni lakin wanafunzi waliwauliza inakuwaje chadema wanagawa bure na wao wanauza, walijibiwa kuwa cha bure hakina thamani. Duru zinasema kwamba ccm waliamua kuandaa mkutano na wanafunzi wa kike kwa kuwa wao ni wepesi kushawishika ukilinganisha na wanaume. Mwezi novemba mwaka jana rais kikwete alipohudhuria mahafali ya kwanza ya chuo kikuu cha dodoma aliwataka wanafunzi.wasikubali kutumiwa na wanasiasa. Mkoa wa dodoma una vyuo vikuu 4 udom, st. John, mipango na cbe..
 
Wameishiwa hao, wajiulize kwann cdm hawakuandaa misoc wala magar bt wanafunz walijitegemea wao?.
Wanatapatapa hao. Hapo nan anakuwa convinced na pesa wana -cdm au ccm?
 
ccm kweli ni CHAMA CHENYE WATU WANAOFIKIRIA MBALI,THIS IS GOOD MOVE,CHADEMA HAWAWEZI KUWAUNGANISHA KUNDI LA WANAWAKE KWASABABU BAWACHA HALINA TASWIRA YA UTAIFA ZAIDI NI KUNDI LA WAKE ,MAHAWARA,NA NDUGU WA VIONGOZI WA CHADEMA pooor CHADEMA bao la kisigino wanawake hawapendi bugudha ndiyo maana waliandaa MISOSI,USAFIRI, sasa ukiwa mbishi kwa hili hupati mwanamama ata mmoja kwa kutumia MAANDAMANO,KEJELI,VURUGU,HUWEKI CHAKULA NA UTULIVU ZAIDI UTAPATA VIJANA AMABAO WENGI WAO NI WEZI NA WALE WANAFUNZI WAGANGA NJAA WANAOTUMIA MKOPO KUTONGOZEA MADEMU NA KWENDA BILLCANASS KWA MBOWE UKIISHA WANAKUJA KUPIGA KELELE NA JK.
 
Mh! Mimi ni CCM na sitegemei hata siku moja kuhamia CDM. Ninachopenda toka CDM ni changamoto ya ukweli tangu wakati wa uchaguzi 2010. Hili la Lema kuishia kidato cha pili, hata kama angeishia darasa la saba sina utata naye ilimradi kazi anaiweza.
 
WaTZ tunavyofurahia bure hatutakiwi kulalamika ugumau wa maisha kwani tukishapa T shirt, scuf, kanga za bure kila baada ya miaka 5 vinatutosha sana kwa maendeleo yetu vingine tuwaachie viongozi wakuu wa chama chetu wafaidi hasa kina RA, EL na wengine na ndio maana wanaotuamsha tunawaona wanatubughuzi. Asanteni kwa kija
 
Nasikia ujumbe wa CCM uliongozwa na sofia simba. Hivi ile BAN ya kutofanya siasa vyuo vikuu aliyoweka Mkuu wa mkoa wa Dodoma imefutwa au ilimhusu Lema(CDM) tu?
 
hapa ni kutapatapa kusikokuwa na dira......ni kama vile hujui unakoelekea halafu ukifika utakakofika ukasema umepotea njia......haitowezekana. CCM hawajui wanaelekea wapi ndio maana ya haya yote

Hakuna kulala mpaka kieleweke!
 
ccm kweli ni CHAMA CHENYE WATU WANAOFIKIRIA MBALI,THIS IS GOOD MOVE,CHADEMA HAWAWEZI KUWAUNGANISHA KUNDI LA WANAWAKE KWASABABU BAWACHA HALINA TASWIRA YA UTAIFA ZAIDI NI KUNDI LA WAKE ,MAHAWARA,NA NDUGU WA VIONGOZI WA CHADEMA pooor CHADEMA bao la kisigino wanawake hawapendi bugudha ndiyo maana waliandaa MISOSI,USAFIRI, sasa ukiwa mbishi kwa hili hupati mwanamama ata mmoja kwa kutumia MAANDAMANO,KEJELI,VURUGU,HUWEKI CHAKULA NA UTULIVU ZAIDI UTAPATA VIJANA AMABAO WENGI WAO NI WEZI NA WALE WANAFUNZI WAGANGA NJAA WANAOTUMIA MKOPO KUTONGOZEA MADEMU NA KWENDA BILLCANASS KWA MBOWE UKIISHA WANAKUJA KUPIGA KELELE NA JK.

Inawezekana nawenimiongoni mwaware mafisadi nakama weniraia wakawaida mchovu hujanawa uso au utoto&vuvuzera ukiondokana nahayo utaacha kamakweli wanaona mbali shughulizote wasitumie magali chakura posho uone kamahawataka viongozi pekeyao kitukinachoonyesha kuwamumechokakisiasa nikutukanabadarayasera tubadilike tusome nyakati cdm hawabebi watunamagali hawatowi posho hawaandai chakura watuwanajaa sababu wanaongeya vituvilivyolifikisha taifaletu tulipo sasa kubaliusikubali changamoto ya cdm imefanya ccmivunjwe haoakinamama wanasema hakusoma sinikufirisika kisiasa
 
Pamoja na kuandaa mapochopocho kibao na vinywaji bado kongamano la CDM lilifunika kwa kuwa na watu wengi.
 
Tehe! tehe! tehe! tah! tah! tah! tah! tah! CCM Batrida Buriani!! Mpaooooooooooooooooooooo!!Obashule!!
 
ccm kweli ni CHAMA CHENYE WATU WANAOFIKIRIA MBALI,THIS IS GOOD MOVE,CHADEMA HAWAWEZI KUWAUNGANISHA KUNDI LA WANAWAKE KWASABABU BAWACHA HALINA TASWIRA YA UTAIFA ZAIDI NI KUNDI LA WAKE ,MAHAWARA,NA NDUGU WA VIONGOZI WA CHADEMA pooor CHADEMA bao la kisigino wanawake hawapendi bugudha ndiyo maana waliandaa MISOSI,USAFIRI, sasa ukiwa mbishi kwa hili hupati mwanamama ata mmoja kwa kutumia MAANDAMANO,KEJELI,VURUGU,HUWEKI CHAKULA NA UTULIVU ZAIDI UTAPATA VIJANA AMABAO WENGI WAO NI WEZI NA WALE WANAFUNZI WAGANGA NJAA WANAOTUMIA MKOPO KUTONGOZEA MADEMU NA KWENDA BILLCANASS KWA MBOWE UKIISHA WANAKUJA KUPIGA KELELE NA JK.

Ukitaka kujua mwana CCM angalia michango yake na kuilinganisha na TH ukishindwa kuwatofautisha basi pasipo na shaka utakuwa umejiridhisha
 
poor coment, short and invalid brain mr Seki6, u need to attend clinic for consultation, u r not ok at all!or u might have nothing interms of reasoning capacity.
 
Inawezekana nawenimiongoni mwaware mafisadi nakama weniraia wakawaida mchovu hujanawa uso au utoto&vuvuzera ukiondokana nahayo utaacha kamakweli wanaona mbali shughulizote wasitumie magali chakura posho uone kamahawataka viongozi pekeyao kitukinachoonyesha kuwamumechokakisiasa nikutukanabadarayasera tubadilike tusome nyakati cdm hawabebi watunamagali hawatowi posho hawaandai chakura watuwanajaa sababu wanaongeya vituvilivyolifikisha taifaletu tulipo sasa kubaliusikubali changamoto ya cdm imefanya ccmivunjwe haoakinamama wanasema hakusoma sinikufirisika kisiasa

Hivi hiki ni Kiswahili au Macho yangu wadau?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom