UWT yakabiliana na chadema Dodoma

UWT yakabiliana na chadema Dodoma

Ukosefu wa fikra madhubuti wana Wabunge hadi wa drs la pili CCM na watu wamebaki kimya kinachotakiwa na uwezo wa kujenga hoja na kuwakilisha Wananchi wa jimbo lake vzr.Please ongeeni mambo ya msingi na vijana asa ivi wamekuwa waelewa mno KE kwa ME
 
unataka kujifanya hujui lema kaishia kidato cha pili ?.

mbona vijisenti kaenda mpaka harvad university, kafanya nini kama si kuhujumu uchumi wa tanzania na kutumia kodi zetu kwa kwenda kutalii marekani badala ya kusoma
 
mbona vijisenti kaenda mpaka harvad university, kafanya nini kama si kuhujumu uchumi wa tanzania na kutumia kodi zetu kwa kwenda kutalii marekani badala ya kusoma

Mkuu vipi tena nimejibu swali kuna jamaa halikuwa hajui Lema alifukuzwa form 2 Kolila sec.
 
Form 2 sio issue. Issue ni nini unawafanyia wapiga kura wako na wananchi kwa ujumla. Kwani zuma wa bondeni kasoma hadi la ngapi? Kina prof mahalu, dr balali na phd zao wamefanya nini?
 
sasa hivi tu ndio mbowe kaanzisha utaritibu huu utaongozwa na regia alafu acha uongo wanao gawa kadi za bure ni ccm hebu leo nenda education block o,l udom walivyochana kadi za ccm za jana zilizotolewa bure alafu wala walikua sio wanafunzi wote baada ya kukosa wanafunzi walienda kuchukua mamantilie wa udom.udom kuna mkati mkali kwanza kuzuia magari ya ccm yasibebe watu kuwapa sapoti mafisadi.kutokua na demu anasapoti ufisadi kwa hivo ccm haina nafasi .pia lema ameshaanza harakati za kunzisha bawacha udom na kuzindua ofisi za bawacha kila chuo tanzania
 
Ni aibu sana kutumia vyakula na vinywaji kama kichocheo cha kuwafanya watu wahudhulie mkutano/mdahalo. Hii ni hatari na kama ccm wanaona ni bao lakisigino kwa CDM wajue wamedanganyika.

Wajipange upya kwa style kuliko style hii ya bribe tricks.
 
I like the form two issue, it's not a bad start for the incumbent MP, Mr. Lema. He can pursue further education easily up to the university level with no problem at all, just matter of time if he so wishes he can slowly move towards Phd.
 
Kauli yako ni ya kishabiki zaidi, hebu tulia na tafakali naamini kama sio wewe basi ni ndugu yako anayepata shida kutokana na ufisadi, umejiuliza kuhusu gharama ya umeme? bei za mafuta, unaweza kujitetea ni mtikisiko wa uchumi la hasha haiwezekani Malawi wapitishe mafuta Kasumulu toka Dar es Salaam halafu wauze bei poa kuliko sisi??
 
Katika kile kinachoelezwa kuwa ni mkakati wa vyama vya siasa kusaka mtaji wa wanafunzi wa vyuo vikuu umoja wa wanawake wa ccm tanzania (UWccmT) jana jumapili uliandaa mkutano na wanafunzi wa kike wa vyuo vikuu vya mkoa wa dodoma uliofanyika katika ukumbi wa kilimani ili kupunguza nguvu ya chadema ambao nao walikuwa wameandaa kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani humo siku hiyo hiyo. UWccmT iliandaa magari kwa ajili ya kuwabeba wanafunzi kuelekea kilimani na baadaye kuwarudisha vyuoni. Dada mmoja kutoka udom aliyehudhuria mkutano huo anasema yeye alienda kwa ajili ya kula na kunywa na alitimiza adhma yake kama alivyokuwa amepang kwa kuwa ccm waliandaa mapochopocho kibao. Ajenda kubwa ya mkutano huo ilikuwa ni kuwasihi wanafunzi wasigome kwa kuwa wanasiasa hawatafukuzwa chuo bali ni wao ndio wataathirika. Kulikuwa pia na ajenda ya kuipasha chadema ambapo mtoa mada mmoja ambaye sikuweza kupata jina lake alimponda godbless lema na kusema ameishia kidato cha pili na kwamba alikuwa muosha magari hivyo wasomi hawapaswi kumsikiliza.(sina hakika kama kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya elimu na siasa). UWccmT waliwasihi akina dada hao wanunue kadi za ccm ambazo zinapatikana vyuoni lakin wanafunzi waliwauliza inakuwaje chadema wanagawa bure na wao wanauza, walijibiwa kuwa cha bure hakina thamani. Duru zinasema kwamba ccm waliamua kuandaa mkutano na wanafunzi wa kike kwa kuwa wao ni wepesi kushawishika ukilinganisha na wanaume. Mwezi novemba mwaka jana rais kikwete alipohudhuria mahafali ya kwanza ya chuo kikuu cha dodoma aliwataka wanafunzi.wasikubali kutumiwa na wanasiasa. Mkoa wa dodoma una vyuo vikuu 4 udom, st. John, mipango na cbe..

Ahsante kwa taarifa Mkuu.......Hao CCM wanatapatapa tu......

Pia some minor correction...Dom kuna vyuo vikuu vi-2 na vya elimu ya juu vi-4 (vinavyo-exist acha vinavyokuja)...

Vyuo vikuu ni UDOM na St. John University na Vyuo vingine vya Elimu ya Juu (non-university) ni IRDP (MIPANGO), CBE, Hombolo (LGTI) na Madini (Mineral Institute)
 
I like the form two issue, it's not a bad start for the incumbent MP, Mr. Lema. He can pursue further education easily up to the university level with no problem at all, just matter of time if he so wishes he can slowly move towards Phd.

Nakubaliana na wewe, Lema sifahamu kama ni kweli kaishia form2 lakini hata kama kaishia hapo, bado anaweza kuwa msomi mzuri tu akiamua, lakini pia si lazima, nimuaonavyo mimi Lema ni mtu smart upstairs (anaakili na ndio cha msingi sio kwenda shule halafu ziro), ni mjuzi wa kujenga hoja, ni mjasiria mali hivyo hana njaa, na zaidi ya yote ni mchapa kazi, sasa leta mlolongo wa prof na dr waliopo CCM halafu wanasinzia tu.

Lema twende mbele kujenga Chama, wanakuogopa ndio maana wanajaribu kukuzonga na hoja zisizomashiko, wamemfuata Dr wa Ukweli Phd Slaa wameshindwa sasa wanatapatapa kama mfa maji. na bado Tunakuja na Vita nyingine baada ya mabadiliko yao ya hiyo kamati tendaji.

Kwa Kifupi tunapenda Wabunge Kama Mh Lema.
 
wanaao gawa kadi za bure ni ccm na mkuu kitengo hiki siku hizi ni mwalimu wa kata jina lake alikua anaitwa sabuni na kuhusu suala hili makamanda washaa anza kulifwatilia mbowe katangaza harakati itaanza dodoma kipindi hiki mapabano yataongozwa na regia na mdee ,chiku,pia lema ashaanza kazi pamoja na regia watu huwa wanajipanga .vijana wa udom wanangaza kuwa wote wenye mademu wanaaende kuwashangilia mafisadi wapigwe chini
 
Nadhani itumike hoja ya nguvu na siyo nguvu ya hoja ni vizuri hao vijana wawaelimishe vizuri mademu wao umuhimu wa mabadiliko na sio kutumia vitisho kuwabwaga chini kwa sababu maswala ya mapenzi ni maridhiano na mapatano musiwanyanyase kijinsia kazeni buti kuwaelimisha umuhimu wa uzalendo na vijana kuwa chachu yamabadiliko na ulinzi wa rasilimali
 
Form 2 sio issue. Issue ni nini unawafanyia wapiga kura wako na wananchi kwa ujumla. Kwani zuma wa bondeni kasoma hadi la ngapi? Kina prof mahalu, dr balali na phd zao wamefanya nini?
Kweli issue si elimu ya mtu, utendaji ndo muhimu zaidi, ndo maana pale Njombe kaskazini walichagua mbunge ambaye si tu kaishia darasa la pili, bali hajui kusoma wala kuandika! Achilia mbali yule profesa wa kule Tanga.
 
Unataka kujifanya hujui Lema kaishia kidato cha pili ?.

Hivi profesa wenu maji marefu yule mbunge wenu CCM wa korogwe, amesomea Harvard, UDSM, Cambridge au Oxford University?
 
seki u're a big idiot....shame on u...to hell u f**n....!
 
Ingekuwa rahisi kwa UWT kwenda vyuoni badala ya Kilimani. waliogopa kuzomewa from getini hadi kwenye ukumbi wa mkutano. CCM wanajijua kuwa they can't say S H I T before wanafunzi wa leo. KUZOMEWA kwa sana.
 
Sijaona la msingi hapa. Buuuushit!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Anayejiita waziri mdogo kuliko wote pia mbunge wa viti maalum tanga ndiye alitamka

Acha UZUSHI Na UONGO wewe. Mie ni mmojawapo wa waliohudhuria kongamano hilo. Huyo mdada wa watu hakutamka hilo sehemu yoyote directly or indirectly. Yeye mada yake ilijikita kwenye nini serikali ya CCM na JK imefanya kuhakikisha USAWA wa JINSiA na HAKi Za Wanawake TZ. Mada nyingine ilikuwa ya MSICHANA KUJITAMBUA. Ukweli tumenufaika sana na mada kuu zote mbili zilizojadiliwa. Of course ingawa pia kulikuwa na kuchomekea siasa, Sikuona ubaya wowote.
 
Katika kile kinachoelezwa kuwa ni mkakati wa vyama vya siasa kusaka mtaji wa wanafunzi wa vyuo vikuu umoja wa wanawake wa ccm tanzania (UWccmT) jana jumapili uliandaa mkutano na wanafunzi wa kike wa vyuo vikuu vya mkoa wa dodoma uliofanyika katika ukumbi wa kilimani ili kupunguza nguvu ya chadema ambao nao walikuwa wameandaa kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani humo siku hiyo hiyo. UWccmT iliandaa magari kwa ajili ya kuwabeba wanafunzi kuelekea kilimani na baadaye kuwarudisha vyuoni. Dada mmoja kutoka udom aliyehudhuria mkutano huo anasema yeye alienda kwa ajili ya kula na kunywa na alitimiza adhma yake kama alivyokuwa amepang kwa kuwa ccm waliandaa mapochopocho kibao. Ajenda kubwa ya mkutano huo ilikuwa ni kuwasihi wanafunzi wasigome kwa kuwa wanasiasa hawatafukuzwa chuo bali ni wao ndio wataathirika. Kulikuwa pia na ajenda ya kuipasha chadema ambapo mtoa mada mmoja ambaye sikuweza kupata jina lake alimponda godbless lema na kusema ameishia kidato cha pili na kwamba alikuwa muosha magari hivyo wasomi hawapaswi kumsikiliza.(sina hakika kama kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya elimu na siasa). UWccmT waliwasihi akina dada hao wanunue kadi za ccm ambazo zinapatikana vyuoni lakin wanafunzi waliwauliza inakuwaje chadema wanagawa bure na wao wanauza, walijibiwa kuwa cha bure hakina thamani. Duru zinasema kwamba ccm waliamua kuandaa mkutano na wanafunzi wa kike kwa kuwa wao ni wepesi kushawishika ukilinganisha na wanaume. Mwezi novemba mwaka jana rais kikwete alipohudhuria mahafali ya kwanza ya chuo kikuu cha dodoma aliwataka wanafunzi.wasikubali kutumiwa na wanasiasa. Mkoa wa dodoma una vyuo vikuu 4 udom, st. John, mipango na cbe..

Hivi hii UWT si ndio inaongozwa na huyu Sophia Simba? Nadhani amedhamiria kuwafundisha dada na mama zetu umbea na mipasho....nadhani imekula kwake.............
 
Back
Top Bottom