UWT wapongeza ushindi wa JK kinamna............. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UWT wapongeza ushindi wa JK kinamna.............

Discussion in 'Jamii Photos' started by Rutashubanyuma, Dec 6, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,208
  Likes Received: 414,316
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Rais Jakaya Kikwete akipokea zawadi ya mchoro kutoka kwa Angela Kairuki, Mbunge wa Viti Maalum (CCM) kwa niaba ya akinamama wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), wakati wa hafla ya kumpongeza kwa ushindi mkubwa uliomwezesha kurejea madarakani baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 31 mwaka huu. Hafla hiyo iliyohudhuriwa pia na mke wa Rais, Mama Salma Kikwete ilifanyika kwenye viwanja vya Biafra, Kinondoni jijini Dar es Salaam. (Picha na Fadhili Akida)
   
 2. E

  Epifania Senior Member

  #2
  Dec 6, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu Angela Kairuki ni ndugu na Mbelwa Kairuki ambaye amechukua nafasi ya Januari Makamba? Kama ndivyo basi hakufanya kazi bure
   
 3. Iteitei Lya Kitee

  Iteitei Lya Kitee JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2010
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 589
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mkewe huyu
   
 4. D

  Dick JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mi chichemi kabicha!
   
 5. Novatus

  Novatus JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2010
  Joined: Jul 28, 2007
  Messages: 331
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mmhh sisemi
   
 6. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #6
  Dec 7, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,631
  Likes Received: 2,871
  Trophy Points: 280
  Wakina mama nao kwa JK !
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Dec 7, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,445
  Likes Received: 5,831
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Dec 7, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,445
  Likes Received: 5,831
  Trophy Points: 280
  Ngoja awamege wote wawili ajilipe fadhila
   
Loading...