Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Umoja Wanawake ya Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Geita umeridhia kwa kauli moja kumpatia kura za Ndio na za kishindo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025 .
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Lolensia Bukwiba katika kikao kilichowakutanisha Viongozi wa Mkoa na Wilaya wa UWT pamoja na Madiwani Wanawake Viti Maalum kutoka Wilaya zote za Mkoa wa Geita katika Ofisi za Chama cha Mapinduzi Mkoa kwa lengo la kuhamasisha Madiwani kuchukua fomu za kugombea Uongozi.