Misungwi Yetu
Senior Member
- Oct 7, 2017
- 103
- 39
Nafikiri ameshangazwa na matokeo waliotoa siku ya leoUmerudi tena...ilishatoka toka hiyo. Watu walishafanya usaili
Nini kinamshangazaNafikiri ameshangazwa na matokeo waliotoa siku ya leo
Wametoa majina ya kuitwa kaziniNini kinamshangaza
Kwan mkulu c yupo huko ongea nae tuJamani tulisema kuna hila zimefanyika huku Mikoani katika kuwapata Wadadisi Mapato na Matumizi Kaya binfsi (HBS).
Hadi tarehe ya mwisho kutuma Maombi ya kazi hiyo (tarehe 12/08/2017) kwenye kijiji chetu tulikuwa waombaji sita tuu.
Wamefanya mchakato wao wa ujanja ujanja kwa kudai eti wamepigia simu wasailiwa, lakini tulipofuatilia kwa Mwenyekiti wetu wa kijiji alituhakikishia orodha ya majina yetu na kutuahidi kuwa upande wetu hadi dakika za mwisho. Leo wametoa majina ya watu wao
Mungu anawaona NBS, Mungu anawaona Viongozi wa Serikali mliofumbia macho ufisadi huu licha ya kuwaletea malalamiko yetu tangu mwanzo.
hakamatiki, yupo busy sanaKwan mkulu c yupo huko ongea nae tu
yaani BABA wametufanyia mchezo, wana akili nyingi lakini tumewabainiKudadadadeki! NBS haya majina ya barua za utambulisho kutoka kwa Watendaji wa Vijiji au Mitaa husika? Mna uhakika ni wakazi wa kwenye hivyo vijiji? Kweli?
ndiyo hivyo dada, ni shida kwa kweliWametoa majina ya kuitwa kazini
but this is too much, tumepeleka ushahidi kwa viongozi wetu ila wapo kimya tuuuPole sana. Ndio Tanzania yetu hii kujuana sana
umerudi tenaUmerudi tena...ilishatoka toka hiyo. Watu walishafanya usaili
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, CCM mtusikilize jamaniUwiiiiii, wametufanyia mazingaombwe kweli kweli