Uwiiii! NBS Hawa Wadadisi kwa Misungwi Wametokea Kijiji gani?

Misungwi Yetu

Senior Member
Oct 7, 2017
103
39
Jamani tulisema kuna hila zimefanyika huku Mikoani katika kuwapata Wadadisi Mapato na Matumizi Kaya binfsi (HBS).

Hadi tarehe ya mwisho kutuma Maombi ya kazi hiyo (tarehe 12/08/2017) kwenye kijiji chetu tulikuwa waombaji sita tuu.

Wamefanya mchakato wao wa ujanja ujanja kwa kudai eti wamepigia simu wasailiwa, lakini tulipofuatilia kwa Mwenyekiti wetu wa kijiji alituhakikishia orodha ya majina yetu na kutuahidi kuwa upande wetu hadi dakika za mwisho. Leo wametoa majina ya watu wao

Mungu anawaona NBS, Mungu anawaona Viongozi wa Serikali mliofumbia macho ufisadi huu licha ya kuwaletea malalamiko yetu tangu mwanzo.
 
Attachments

  • HBS-Results-Tanzania_1.pdf
    462.6 KB · Views: 128

Kwan mkulu c yupo huko ongea nae tu
 
Kudadadadeki! NBS haya majina ya barua za utambulisho kutoka kwa Watendaji wa Vijiji au Mitaa husika? Mna uhakika ni wakazi wa kwenye hivyo vijiji? Kweli?
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom