Uwiano idadi ya wabunge

Uwiano idadi ya wabunge

Davan

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2020
Posts
1,125
Reaction score
1,415
ZANZIBAR watu milioni 2 wabunge zaidi ya 40.
DAR-ES-SALAAM watu milioni 6 wabunge 10.
Vigezo gani huangaliwa kuweka idadi ya wabunge?
 
Zanzibar ni nchi usiilinganishe na mkoa kama wa Kusini Pemba
 
Huko ni missuse of resources, Zanzibar inatakiwa iwe mkoa wenye wilaya mbili na majimbo mawili tu ya uchaguzi, unguja na pemba.
 
Kupeana ulaji kila mtu apate
 
Nchi maana yake nini?
Wajumbe wa baraza la wawakilishi wanafanya kazi gani?
Hao baraza la wakilishi ndiyo mhimili mmoja wapo kati ya mitatu ya nchi ya Zanzibar
 
ZANZIBAR watu milioni 2 wabunge zaidi ya 40.
DAR-ES-SALAAM watu milioni 6 wabunge 10.
Vigezo gani huangaliwa kuweka idadi ya wabunge?
Siasa ni uongo. Ndio hali halisi.
 
ZANZIBAR watu milioni 2 wabunge zaidi ya 40.
DAR-ES-SALAAM watu milioni 6 wabunge 10.
Vigezo gani huangaliwa kuweka idadi ya wabunge?
Mshahara, Posho na Stahiki zingine anazolipwa Mbunge wa Zanzibar ni sawa na anazolipwa Mbunge wa Bara?
 
ZANZIBAR watu milioni 2 wabunge zaidi ya 40.
DAR-ES-SALAAM watu milioni 6 wabunge 10.
Vigezo gani huangaliwa kuweka idadi ya wabunge?
Tumefika mahali na kusahau kwamba Zanzibar ni nchi
 
Back
Top Bottom