hujui ukisemacho...viongozi wangapi wa ccm anawapondaga live, barabara ngapi huaga anasema zilivyoborongwa na utawala wa chama tawala, huduma mbovu za kijamii anazokandia na kueleza ubovu wake na mambo mengne mengi mabaya yanayofanywa na serikali....ungesema hayupo Biased ngekuelewa je mtu ambaye yupo ccm anaweza kusema jamaa anayosema?..kama hujui kitu funga KAPU lako nyamaza, KENGE wewe
na lisauti lake la kukwaruza kutokana na misigara na mibangi mi ndo huwa simsikilizi kabisa. bora angebaki kwenye mizengwe kipindi akiwa na marehemu max.kitabu kisipoeleweka muandishi huenda akawa na mapungufu especially CONTENT&style ya kudeliver message
Wewe mjinga nn? Rudi Fb huko,huku hatutukanagi mjinga wewe! Na kama mim ni kenge basi wewe ni mama kenge
Spell Checker ya Jamii forums :biggrin1:= Tafakari
Nimekuwa namsikiliza huyu jamaa kwa muda sasa lakini nimepata wasiwasi na uwezo wake wa kuchambua mambo na pia elimu yake.
moja ya watangazaji wanaonivutia bongo ni zembwela
zembela ndiyo nani au ndiyo nini eeeeh ni bia mpya au ni aina mpya ya chakula?????
Spell Checker ya Jamii forums :biggrin1:
Nami siachi kusikiliza Supermix