Uwezo wa Zembwela

Uwezo wa Zembwela

Siku hizi kila mtu akijua kuongea kidogo anakuwa mtangazaji
Uwezo wake wa kufikiri criticaly ni mdogo
 
Anatafuta ukuu wa wilaya, bahati mbaya kwake mgawa vyeo ndio hivyo tena kabakiza miezi asepe!!
 
Ni mzuri anaapoöngelea mambo mepesi mepesi ndo maana anafit zaid kwenye uswazi kuliko supermix, unapompa kaz kuchambua mambo mazito unagundua ni mweupe sana!
 
Vijana mwacheni jamaa mbona mi namkuli sana anajitahidi kuliko hao maclouds FM wenu
 
Mimi nadhani wewe hicho kipindi cha uswazi ndicho kinakufaa zaidi endelea kusikiliza hicho
 
Back
Top Bottom