kg 350 sawa na mifuko saba ya cement.Nimenunua kirikuu cha kugangia njaa mjini hapa. Lengo langu nataka kinitumikie japo miaka 2.
Nawaomba ushauri, nikibebeshe maximum kilo ngapi? au gunia ngapi za mahindi?
Asanteni
utakuwa unalazimisha na ndio hapo gari inaanza kuchoka mapemaNikibeba nusu tani, mifuko 10? kirikuu kitakufa?