mkuu kwahyo mtu mmoja anaongoza nchi zote hzo na kila nchi ina mpa mshaharA?Nguvu na uwezo alionao Malkia Elizabeth wa Uingereza...
1. Haitaji leseni ya gari, huendesha bila leseni
2. Husafiri bila passport nje ya nchi
3. Huwa anasherehekea siku ya kuzaliwa mara mbili, ile ya kweli 21 april na jumamosi ya jully
4. Ana mtunga mashairi wake maalumu.
5. Ana ATM mashine yake binafsi ya kutoa ela
6. Bila ruhusa yake hakuna muswada utapitishwa kuwa sheria
7. Ana uwezo wa kutolipa kodi
8. Ana uwezo wa kumuonya waziri yoyote, na hata kumwajibisha
9. Ni malkia wa Australia pia
10. Ukiacha ukuu wake katika UK na Australia pia anaongoza nchi zifuatazo Antigua and Barbuda, the Bahamas, Barbados, Belize, Canada, Grenada, Jamaica, New Zealand, Papua New Guinea, Saint Kitts and Nevis, Saint Lucia, Saint Vincent and the Grenadines, Solomon Islands, na Tuvalu.
11. Ni mwenyekiti wa kanisa la Anglikana
12. Ana uwezo wa kuivunja serikali ya Australia
13. Anakinga ya kutoshitakiwa
14. Anamiliki ndege aina ya swans, kongoro katika mto thames
15. Anauwezo wa kumteuwa spika kwa amri yake
kwako ndio unaona kama ujinga hiyo ni kama mila na desturi zao na kila jamii ina utamaduni wake na wana heshimu utamaduni wao. sio kama bongo hawajali wachakulia vitu easy tuInashangaza kwamba wazungu pamoja ukweli kwamba ni jamii iliyoelimika zaidi wanaweza kuruhusu ujinga kama huu kuendelea,kwamba ukoo mmoja unatawala nchi vizazi na vizazi!
Mkuu unamengi Sana tudokeze kidogo kaka! Rip princess DianaEeeh... R.I.P Diana...!! Aliishi na watu wenye nguvu sana, na kuchukua uhai wake..!!
Mkuu unamengi Sana tudokeze kidogo kaka! Rip princess Diana
babaake dodi bado analalamika mpaka leo kuwa mwanae aliuliwa kwa makusudi
Kwa kweli ilimuuma sana na alikuwa anasimamia haki ya mwanae mpaka america lakini imeshindikana.babaake dodi bado analalamika mpaka leo kuwa mwanae aliuliwa kwa makusudi
Inashangaza kwamba wazungu pamoja ukweli kwamba ni jamii iliyoelimika zaidi wanaweza kuruhusu ujinga kama huu kuendelea,kwamba ukoo mmoja unatawala nchi vizazi na vizazi!
Hili halitawezekana kamwe mkuu...nakumbuka kuna kipindi cha Blair kulikuwa na chokochoko za familia hiyo ilipe kodi.. uliza walichoambiwa...kuna siri nzito na kubwa saana juu ya uzao ule.Waingereza hawachelewi.
Akitokea chizi mmoja akishawishi kuwe na referendum ya kuondoa utawala wa Malkia inawezekana.
Hili halitawezekana kamwe mkuu...nakumbuka kuna kipindi cha Blair kulikuwa na chokochoko za familia hiyo ilipe kodi.. uliza walichoambiwa...kuna siri nzito na kubwa saana juu ya uzao ule.
Hivi akijua kua 'Hawana katiba' yaani UK katiba yao haijaandikwa popote si ndiyo atakufa kabisa huyo?kwako ndio unaona kama ujinga hiyo ni kama mila na desturi zao na kila jamii ina utamaduni wake na wana heshimu utamaduni wao. sio kama bongo hawajali wachakulia vitu easy tu