Uwezo wa kujieleza mbele ya watu....

Franklin Wolfgang

JF-Expert Member
Mar 17, 2014
284
250
Ni matumaini yangu mmeuona mwaka mpya salama,

Leo ningeomba kupendekeza,kuanza kumjengea mtoto uwezo wa kujiamini kuongea mbele ya hadhira,(public speaking)

Tangu elimu ya awali,labda kuwe na kipindi mtoto aelezee hadithi anayoipenda mbele ya watoto wenzake etc,

Elimu ya primary na secondary pia iwe na vipindi vya mwanafunzi kujieleza,

Ili mtu akifika chuo,au kuanza kazi,basi awe mtu anayeweza kujieleza.

Happy new year.
Sorry natoka nje ya mada Rebeca, what do you do for a living?
 
LoyalTzCitizen

JF-Expert Member
Sep 15, 2010
2,153
2,000
Kujielezea mbele ya public ni kama Kansa kwa watoto wetu na proffessionals hapa Tz, hii hupelekea mpaka wahitimu na hata tukifikia umri mkubwa makazini Ku struggle ktk presentations etc, Tuamke sasa na kubadilisha mfumo wetu wa elimu tokea ktk early learning, pia tuwape Uhuru watoto wetu kuongea na tusiwabane.
 
leroytz

JF-Expert Member
May 22, 2016
677
500
Ni matumaini yangu mmeuona mwaka mpya salama,

Leo ningeomba kupendekeza,kuanza kumjengea mtoto uwezo wa kujiamini kuongea mbele ya hadhira,(public speaking)

Tangu elimu ya awali,labda kuwe na kipindi mtoto aelezee hadithi anayoipenda mbele ya watoto wenzake etc,

Elimu ya primary na secondary pia iwe na vipindi vya mwanafunzi kujieleza,

Ili mtu akifika chuo,au kuanza kazi,basi awe mtu anayeweza kujieleza.

Happy new year.
I don't think so,life changes na haimaanishi kumjengea mtoto uwezo wa kujieleza atakua nao milele,NO!
 
Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
9,852
2,000
Ni matumaini yangu mmeuona mwaka mpya salama,

Leo ningeomba kupendekeza,kuanza kumjengea mtoto uwezo wa kujiamini kuongea mbele ya hadhira,(public speaking)

Tangu elimu ya awali,labda kuwe na kipindi mtoto aelezee hadithi anayoipenda mbele ya watoto wenzake etc,

Elimu ya primary na secondary pia iwe na vipindi vya mwanafunzi kujieleza,

Ili mtu akifika chuo,au kuanza kazi,basi awe mtu anayeweza kujieleza.

Happy new year.
Mbona hayo yanafanyika; mfano, debates i.e. motion, role play, reading in front of the class. Universities and colleges kuna presentations kwenye seminars.

Pia kuna techniques za kumudu kuongea mbele ya watu mfano kuvuta pumzi ndefu na kuiachia taratibu endapo unaona dalili za kuwa nervous zaidi kwa sababu average nervousness ni muhimu kwa ajili ya energy. Training ya 'communicating with confidence' and 'presentation skills' zinasawazisha kila kitu.
 
mchepuko

JF-Expert Member
Feb 14, 2014
1,155
2,000
Kuongea umbea na mechi za EPL wanaweza ila on serious business hawawez...this is a piece of joke...kikubwa katika kujenga kujiamini ni kuelewa pasi na shaka kile unachokifanya kwanza..the rest is secondary... Nna boss wangu ni muoga cjawai ona presentation zoote nafanya Mimi and I like that maana wakubwa wananiona soon ntambwaga
 
Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
11,441
2,000
Mbona hayo yanafanyika; mfano, debates i.e. motion, role play, reading in front of the class. Universities and colleges kuna presentations kwenye seminars.

Pia kuna techniques za kumudu kuongea mbele ya watu mfano kuvuta pumzi ndefu na kuiachia taratibu endapo unaona dalili za kuwa nervous zaidi kwa sababu average nervousness ni muhimu kwa ajili ya energy. Training ya 'communicating with confidence' and 'presentation skills' zinasawazisha kila kitu.
its ok mkuu,

I just think,ukimcoach mtoto kuanzia anakua then atakua na confidence ya kuongea mbele ya watu,

Then,huko juu itakuwa ni muendelezo tu,basics anazo,

Nadhani watu wawili,mmoja akiwa coached toka utotoni,kuongea na hadhira,na mwingine kasomea technics ukubwani,still utaona utofauti,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom