Uwezo wa kufikiri wananchi wa Kenya, Rwanda na Uganda uko juu hapa Afrika Mashariki

Naunga mkono hoja, tatizo letu sie huku tuko bize kushabikia ujinga wa kina Diamond anavyocheza na nyota za wasanii wa kibongo wasiojitambua huku akiwaachia laana na mikosi maishani mwao na kushabikia wabunge warukao serekasi na kulia bungeni.
kwa kauli hii hakika wewe ni miongoni mwao.
 
Au kiingereza kilikufanya ukaona uko behind them?!
Next time ishi nao kuwajua zaidi then ujipime if uko zaidi au nyuma yao
 
Nakubali.
Kwa ujinga ule wa magufuli
Kama aliweza kutunyamazisha wote
Huko wasingevumilia ujinga ule
 
Wakuu,

Katika kutembea huku na kule kwa hapa Afrika mashariki nimejaribu kupima uelewa wa wananchi wa karibu nchi zote naona wakenya wanaongoza halafu waganda na wanyarwanda hufuatia.

Kwanza naangalia vijana wa hizo nchi kila utakapokutana nao kwenye utafutaji basi mnakua tofauti kabisa kwa mfano ukimkuta mkenya, mganda na mnyarwanda pale afrika kusini, basi wengi wao wameajiriwa kwenye makampuni au wanamiliki kampuni zao au wanabiashara zao wanapambana nazo na sio biashara za madawa ya kulevya au wizi kama wabongo.

Mataifa hayo pia yako mbele kwenye teknolojia kuliko kawaida na hiyo huwafanya kupenya sehemu nyingi kwenye mataifa mengine ndani ya afrika mashariki na kupiga pesa isio ya kawaida.

Ukijaribu kuangalia hata viongozi wao miradi wanayatekeleza kuanzia barabara, flyovers, viwanja vya ndege, shule zao wanajenga kweli vitu vya kueleweka hapo utajua kabisa jamaa hao wako serious sana na maisha.

Kundi linalofiatia kwa uwezo wa kufikiri kuanzia wananchi hadi viongozi wao ni Tanzania, Burundi, Sudani kusini, Congo DRC, hao ndio wale wa vuta ni kuvute, yaani kuna muda fikra zinakuepo na kuna muda zinapotea na mataifa hayo ndio utajionea maajabu yaani hata wananchi wake hufuatilia sana mambo yasiyo na umuhimu kwenye maisha ya kila siku yaani wanasubiri kudra za mwenyezi Mungu.

Mfano: maswali utakayoulizwa na mwandishi wa habari wa kenya, Rwanda na Uganda lazima yawe na logic sana lakini waandishi wa kundi la pili ukisikiliza mahojiano yao zaidi ya kuchekacheka na kuuliza petty questions hamna cha zaidi.
Ukweli mtupu
 
Waganda hawa hawa wanaofunga barabara kufanya Birthday ya mtoto wa Rais MK? aisee mimi nina exposure na those countries mentioned hapo kwa mbali narudia kwa mbali wakenya unaweza kuturinganisha nao
Mleta mada unaweza kukuta hajafika hata mojawapo wa hizo nchi,sasa kwa mtu kama huyo unategemea atakuja na fact yoyote zaidi ya story ya vijiwe vya kahawa!
 
Tatizo la wabongo ni umuch know uliopitiliza tujenge desturi ya kujisomea vitabu mbalimbali kama wezetu wakenya Uganda n.k tutakwamuka kwenye huu ujinga.ingawa kwenye kazi manual work wabongo tuko vizuri ,wabongo wengi kwenye tasinia ya ufundi ni nooma .
 
Wakuu,

Katika kutembea huku na kule kwa hapa Afrika mashariki nimejaribu kupima uelewa wa wananchi wa karibu nchi zote naona wakenya wanaongoza halafu waganda na wanyarwanda hufuatia.

Kwanza naangalia vijana wa hizo nchi kila utakapokutana nao kwenye utafutaji basi mnakua tofauti kabisa kwa mfano ukimkuta mkenya, mganda na mnyarwanda pale afrika kusini, basi wengi wao wameajiriwa kwenye makampuni au wanamiliki kampuni zao au wanabiashara zao wanapambana nazo na sio biashara za madawa ya kulevya au wizi kama wabongo.

Mataifa hayo pia yako mbele kwenye teknolojia kuliko kawaida na hiyo huwafanya kupenya sehemu nyingi kwenye mataifa mengine ndani ya afrika mashariki na kupiga pesa isio ya kawaida.

Ukijaribu kuangalia hata viongozi wao miradi wanayatekeleza kuanzia barabara, flyovers, viwanja vya ndege, shule zao wanajenga kweli vitu vya kueleweka hapo utajua kabisa jamaa hao wako serious sana na maisha.

Kundi linalofiatia kwa uwezo wa kufikiri kuanzia wananchi hadi viongozi wao ni Tanzania, Burundi, Sudani kusini, Congo DRC, hao ndio wale wa vuta ni kuvute, yaani kuna muda fikra zinakuepo na kuna muda zinapotea na mataifa hayo ndio utajionea maajabu yaani hata wananchi wake hufuatilia sana mambo yasiyo na umuhimu kwenye maisha ya kila siku yaani wanasubiri kudra za mwenyezi Mungu.

Mfano: maswali utakayoulizwa na mwandishi wa habari wa kenya, Rwanda na Uganda lazima yawe na logic sana lakini waandishi wa kundi la pili ukisikiliza mahojiano yao zaidi ya kuchekacheka na kuuliza petty questions hamna cha zaidi.
Mi nirifikili Kuna Jeff bezos,Eron musk wamezaliwa huko,kumbe story tu,wewe unaijua TZ?mikoa mingapi umekaa?unajua makampuni mangapi ya kitanzania yameanzishwa na vijana?
 
Wakuu,

Katika kutembea huku na kule kwa hapa Afrika mashariki nimejaribu kupima uelewa wa wananchi wa karibu nchi zote naona wakenya wanaongoza halafu waganda na wanyarwanda hufuatia.

Kwanza naangalia vijana wa hizo nchi kila utakapokutana nao kwenye utafutaji basi mnakua tofauti kabisa kwa mfano ukimkuta mkenya, mganda na mnyarwanda pale afrika kusini, basi wengi wao wameajiriwa kwenye makampuni au wanamiliki kampuni zao au wanabiashara zao wanapambana nazo na sio biashara za madawa ya kulevya au wizi kama wabongo.

Mataifa hayo pia yako mbele kwenye teknolojia kuliko kawaida na hiyo huwafanya kupenya sehemu nyingi kwenye mataifa mengine ndani ya afrika mashariki na kupiga pesa isio ya kawaida.

Ukijaribu kuangalia hata viongozi wao miradi wanayatekeleza kuanzia barabara, flyovers, viwanja vya ndege, shule zao wanajenga kweli vitu vya kueleweka hapo utajua kabisa jamaa hao wako serious sana na maisha.

Kundi linalofiatia kwa uwezo wa kufikiri kuanzia wananchi hadi viongozi wao ni Tanzania, Burundi, Sudani kusini, Congo DRC, hao ndio wale wa vuta ni kuvute, yaani kuna muda fikra zinakuepo na kuna muda zinapotea na mataifa hayo ndio utajionea maajabu yaani hata wananchi wake hufuatilia sana mambo yasiyo na umuhimu kwenye maisha ya kila siku yaani wanasubiri kudra za mwenyezi Mungu.

Mfano: maswali utakayoulizwa na mwandishi wa habari wa kenya, Rwanda na Uganda lazima yawe na logic sana lakini waandishi wa kundi la pili ukisikiliza mahojiano yao zaidi ya kuchekacheka na kuuliza petty questions hamna cha zaidi.
Mauzauza hoyee!!!
 
This should be researched! Ila kwasasa wabongo wameamka sana sana , especially kuanzia kipindi cha utawala wa Magufuli
 
Back
Top Bottom