Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,629
- 5,262
Ndugu wanaJF habari,na2maini mu wazma kwa baraka zake Allah.Napenda kujuzwa kuhusu hii k2 ,nimekuwa nikiona kwenye specification za cm mbalimbali bluetooth zna differ ukubwa .swali langu ni je ukubwa au udogo wa bluetooth unatokana na nini?faida zake ni zpi kwa bluetooth kubwa ama ndogo pia kazi za bluetooth ni zipi ukiondoa kurusha picha na nymbo ?Na2maini mtanisaidia

Kama alivyo sema i2thedi ni sahihi kabisa cha kuongezea ni kwamba unapoona Version inaongezeka na ndivyo ubora, features na speed vinaongezeka, mfano utumaji wa file kati ya device yenye Bluetooth 2.1 to 4 au 4 to 2.1 na utumaji wa files from Bluetooth 4 to 4 nitofauti sana from v4 to V4 files zitakwenda kwa speed sana, pia quality(stereo) ya saut unapo connect na stereo Bluetooth device ukiwa na v4 inakua kubwa
kwa kuongezea tena ntaelezea faida unazozipata kwenye bluetooth 4 ambazo kwenye bluetooth za nyuma usingepata.
1. utumiaji mdogo wa betry. kila mtu anajua akiacha bluetooth on kitu gani kinatokea betry inaisha fasta ila ukiwa na b4 unaacha 24hrs betry haiend sana
2. utumiaji mdogo ina maana kuongezeka kwa accessory. kuna vitu vilitakiwa vitengenezwe vya bluetooth ila havikuwezekana sababu blutooth inahitaji power kubwa.
mfano mzuri ni accessory mpya ya nokia inaitwa treasure tag hii ni kama holder ya funguo yenye bluetooth. incase umesahau ulipoweka simu inakuonesha. holder hii unachaji mara moja inakaa na chaji miezi 6.
hapa ingekua ni bluetooth za kpnd cha nyuma hata wiki isingekatiza
faida nyengine inaweza kuwa integrated na nfc pamoja na vitu kama ramani