Uwezo wa askari kukimbia

Uwezo wa askari kukimbia

Hii nchi bwana haishi vibweka sasa huyo policemani kufukuza huyo kid hivyo ni nini[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ukienda mirembe ukawashangaa vichaa mambo wanayofanya we ndiyo utakuwa kichaa..!
 
Hapo dogo hachomoki acheni masikhara na wewe mleta uzi kama huna cha kupost soma thread za wengine.
Angalia miguu ya afande ilivyonyooka kwa hatua kubwa kisha angalia miguu ya dogo hatua zake, na cha kusikitisha dogo anakimbia huku anaangalia nyuma, ktk suala zima la kukimbia endapo unakimbizwa na anaekukimbiza yupo karibu nawe, kitendo cha wewe kugeuka nyuma kwanza unakuws umepunguza speed yako na uwezekano wa kudakwa ni mkubwa
 
Sijajua mashaka yako kwa huyo askari yanatikana na nini maana hiyo picha haitwambii huko walikotokea waliachana umbali gani, labda twambie kinachoonesha mashaka ya uwezo wa askari huyo katika kukimbia kwa kutumia hiyo picha
 
Askari wana misuse resources; mtoto wa watu hana silaha lakini askari ana helmet, Rungu, boot na pingu huo ni uoga au ufujaji
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Buti kilo 5 rungu nusu kilo suruali modo juu helmet robo kilo anakimbia huku anawaza kama akimkamata kisha asimkute hata na buku mfukoni na mbio zote hizo lazima amuwekee bangi.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji6]
 
Heheh nyie askari wanakimbia jamani,nyie wadharauni kwa sababu hamjawahi ona mshike shike wake.

Alafu ukiangalia hiyo picha huyo afande alivounyoosha huo mguu,dogo huyo atakua alidakwa tu
Me hawanidaki kamwe
 
Back
Top Bottom