bishontongo
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 239
- 223
Mimi nikiwaga nawaza juu ya mapenzi uwa sielewimkabisa kuna hisia gani ndani yake. Kama wanavyo sema moyo wa mtu ni kama kichaka huwezi jua anakuwa anakuwazia nini,mfano mwanamke unatokewa na mwanaume lazima unakuwa na mashaka na kusita sita kwa kujiuliza hivi huyu ananipenda kweli, hivyo hivyo kuna anae kuja kwa kukupenda ila ukakuta mwanamke amedharau kume kamuumiza mwanaume na kuna anae kubali kumbe yule mwanaume wala hana mpango na mwanamke kubaki anaumia sasa hapo swali laja . mwanaume mkwwli utamjuaje namwanamke ili mwanaume akatulie kwa lengo kuwa katulia kwake hatajuaje ? Mhhh hii ni mtihani sana katika mahusiano lakini.