Uweusi kwenye mdomo wangu (lips) unaninyima furaha

Tilalilala

Member
Nov 30, 2014
78
66
Kama mada inavyojieleza ngozi yangu ni maji ya kunde lakini nina lips nyeusi sana kiasi kwamba kila moja ananihisi kama natumia au aidha nishawahi kutumia bangi/sigara kitu ambacho sio kweli sijawahi kutumia pambe, bangi wala sigara hii hali inanikosesha sana amani na furaha.

Kwa anaefaham namna ya kutatua tatizo hili anisaidie.

Afu nmekuja kugundua kuwa sio tu eti UKWELI UNAUMA hapana kwani HATA UONGO PIA UNAUMA.
 
Kama mada inavyojieleza ngozi yangu ni maji ya kunde lakini nina lips nyeusi sana kiasi kwamba kila moja ananihisi kama natumia au aidha nishawahi kutumia bangi/sigara kitu ambacho sio kweli sijawahi kutumia pambe,bangi wala sigara hii hali inanikosesha sana amani na furaha.
Kwa anaefaham namna ya kutatua tatizo hili anisaidie.
Afu nmekuja kugundua kuwa sio tu eti UKWELI UNAUMA hapana kwani HATA UONGO PIA UNAUMA.
Lete picha ya hizo lips...halaf ww ni me au ke???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nina wekundu Fulani kama vile niliungua mdomo kwa sababu ya fegi, Masai nikikutana nao wananiambia dawa hii.

Ila sijawahi kuona kama ni tatizo kabisa.
 
Weka asali kwenye kisosi kamulia na ndimu kisha kata kipande cha kitunguu maji alafu unakuwa unachovya kile kipande kwenye mchanganyiko wako kwenye kisosi then unascrub lips vya kutosha asubuhi na jioni ukishamaliza usinawe wala usijilambe uiache ibaki hapo hapo ulale nayo.

Hyo natumia mimi sababu mdomo umekuwa mweusi na mibangi na imeondoa weusi wote,sasa kama weusi wako umezaliwa nao sijui itakuwaje,ila jaribu uone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jikubali kama ulivyo kwani hivyo ndivyo ulivyo na huyo ndio wewe, usitake kujilindanisha na wengine! Unataka midomo myekundu ya nini?
 
Una kilo ngapi? Unaweza kuwa na Kisukari kipo stage ya 1, ugonjwa wa Kisukari stage 1 anakuwa na weusi aidha kwenye shingo au sehemu yeyote unaweza kutumia mikorogo mingi Kumbe ujuwi tatizo ni nini.

Lakin kwa Vipimo vyetu vya hospital hawana uwezo wa kugundua stage ya 1 ya ugonjwa wa Kisukari. Ukienda kupima damu sukari itaonekana ipo normal.
 
Kama mada inavyojieleza ngozi yangu ni maji ya kunde lakini nina lips nyeusi sana kiasi kwamba kila moja ananihisi kama natumia au aidha nishawahi kutumia bangi/sigara kitu ambacho sio kweli sijawahi kutumia pambe,bangi wala sigara hii hali inanikosesha sana amani na furaha.
Kwa anaefaham namna ya kutatua tatizo hili anisaidie.
Afu nmekuja kugundua kuwa sio tu eti UKWELI UNAUMA hapana kwani HATA UONGO PIA UNAUMA.
Your dehydrated, unakunywa maji kiasi gani per day?
 
Kama mada inavyojieleza ngozi yangu ni maji ya kunde lakini nina lips nyeusi sana kiasi kwamba kila moja ananihisi kama natumia au aidha nishawahi kutumia bangi/sigara kitu ambacho sio kweli sijawahi kutumia pambe,bangi wala sigara hii hali inanikosesha sana amani na furaha.
Kwa anaefaham namna ya kutatua tatizo hili anisaidie.
Afu nmekuja kugundua kuwa sio tu eti UKWELI UNAUMA hapana kwani HATA UONGO PIA UNAUMA.
Kama ni mwanamke paka lipstick

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali hiyo imeanza ghafla au tangu zamani?
sugulia baking soda wanasema inasaidia kama ni hali iliyoanza ghafla kama umezaliwa hivyo basi ndio upo hivyo jikubali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom