Ndege za Watanzania ni kodi zao hizo kwani shida ipo wapi Gabacholi?!Kumbe mnazipanda eeeh?
Mnafiki hajifichi.
Fast jet ulikuwa ukiwahi nauli haizidi 75000 vipi now how muchWapinzani mnapinga hadi nauli za ndege?
ATCL usifananishe na vile vikampuni vya wahuni waliokuwa na ndege zimejaa uchafu ndani
Hii imeumiza wengi nikiwemo mimi kuizuia fast jet. Bei za ATCL ni mara 3 zaidi ya fast jetSijui kwanini anaizuia fastjet kuwepo sokoni, Monopoly market haijawai kuleta tija kwa mteja.
Mane hiyo ni nini? Ni mwewe au basi?Chakaza panda dar lux mzee baba!au frester!hyo nyingine isave!
Hiyo bei ni karibu nusu ya bei ya tiketi za nafuu kabisa za New York to London.I see hawa jamaa ATCL wana gharama karibia mara 3 ya fast jet. Watu walishaanza kusahau mabasi baada ya fast jet kuja. Lakini sasa wamerudi kwa kasi kwenye mabasi
Tuko huru kuongea....Wapinzani mnapinga hadi nauli za ndege?
ATCL usifananishe na vile vikampuni vya wahuni waliokuwa na ndege zimejaa uchafu ndani