Kama usalama wa Taifa walishindwa kuwafahamu na kuwakamata wale "Al-shabaab" na wanamgambo wengine Mkama aliosema wameletwa na CHADEMA, Je watawaweza hawa Al-Shabaab wenyewe? Ndoto
mbona jeshi la wananchi JWTZ na polisi wa ndani na Intapol huwajumuishi katika hilo au una chuki binafsi na chombo hicho
Nimependa hapo red.akili zako hazina akili kila kosa usalama wewe umeilinda vipi nchi yako hata kwa kutoa taarifa tu kwa hao usalama