Dalili za kushindwa hizo. Watanzania wameshagundua midahalo inakuwa ikiongozwa na wafuasi wa vyama fulani fulani kwa malengo ya kutoa upendelea fulani na ndiyo maana unakuta katika midahalo hiyo washiriki wengi wanakuwa wamevalia sare za vyama hivyo cha ajabu zaidi hata kiongozi wa mdahalo anakuwa naye yuko katika Gwanda.
Tukiacha hayo, mbona CDMA wanajisifu kuwa mgombea wao amezaliwa Arumeru na kukulia hapo sasa wanataka wananchi wamfahamu kuhusu nini? Acheni kutafuta ushindi wa mezani na Rose Kitwangi.