Uwenyekiti wa ccm kyela ni vichwa gongana baada ya kifo cha aliyekua mwenyekiti

KILITIME

JF-Expert Member
Nov 17, 2009
265
18
:mullet:wadugu,wakazi,wazawa, na wapenda maendeleo wote wa wilaya ya KYELA
naamini wanaoijua kyela kisiasa na siasa zake wanazijua pia! kwao hiliwezi kua jambo la kushangaza kuona pilikapilika za kumtafuta atakaye shika wadhifa wa uwenyekiti uloachwa wazi na mh Mwakasumi si nia yangu kuwakumbusha watu kifo cha mheshimiwa huyu ingawa kifo chake kimeacha maswali lukuki!
Kyela ina mambo kadhaa ya kujivunia:blah::blah: ingawa sina hakika kama yanawaletea maendeleo naweza kuyataja machache sana
1 imetoa naibu waziri!
2 imetoa mkuu wa majeshi!
3 hata mkuu wa mkoa wa Mbeya pia ni mtu kutoka Kyela!
Sina hakika kama hawa niliowataja hapa kwa nyadhifa zao
wana mambo ya kujivunia mbele ya wananchi wa Kyela
Any way sio kusudio langu kuhangaika na nani kaifanyia nini
KYELA Swala ni huu mchakato wa kumpata mwenyekit mpya
ni waz vigogo hawa na wengineo hasa wahusikao na siasa
za kyela naambiwa Mh naibu waziri anahaa namna na jinsi
ya kumweka kijana wake wa task force namjua kwa jina moja tu
Rich, naambiwa pia aliyekua diwani wa kata ya kyela nae pia
ni miongoni mwa watakaowania nafasi hii! najua ni haki yao lakini je wataweza kukiimarisha chama ktk siasa za sasa za upinzani??
Nasisitiza kwa namna na hali ya kisiasa nawaomba kwanza mnifahamishe ni muda gani kisheria na kikatiba ya ccm unapaswa kuhakikisha nafasi iloachwa wazi na kiongozi aliyepoteza maisha iwe imejazwa???
pia nawaomba basi hata mnitajie wale mnaoamini watawoza kuishika vyema nafasi hii kwa faida ya ccm,wanakyela na wtz kwa ujumla!
 
Back
Top Bottom