Uwekezaji wa Uingereza nchini Tanzania

Uwekezaji wa Uingereza nchini Tanzania

ni bora tukareview vizuri hiyo mikataba mara nyingi sana waingereza wako fair ukilinganisha na mataifa yaliyobaki kwenye European Eunion . na mtoa uzi nimuulize wachina ni lini waliwapiku uingereza uwekezaji Tanzania?
China ni kipenzi cha watawala Wa kiafrika kwa sababu huwa yeye haingilii maisha ya serikalu na wananchi wake.
Yeye hata ukiamua kuwa unawachinja wananchi wako na kuwapika supu yeye huwa hayamhusu. Mkila rushwa shauri yenu, mkiiba hayamhusu. Lakini waxungu hutaka kuona ustaarabu unasitawi katika Jamii husika
 
Je huo ushoga na ndoa za jinsia moja mbona husemi umeletwa na nani kama sio wazungu
 
NGOs sijui kama huwa zina mchango kimaendeleo maana nyingi zinaajiri vijana wazungukezunguke eti wanafanya utafiti ili wawapotezee muda wa kufikiria kuunda viwanda/mashine/applications na kutoa matokeo yanayohamasisha mletewe msaada, na msaada utakuta una masharti fulani.
Una akili sana
 
tumejipanga sana,MO,gsm,barhesa wamedhamilia kuporomosha maviwanda ya kila aina ndani ya miaka 3,
kwa kanda ya ziwa yupo JAMBO nae anakuja juu kwa speed ya nyati aliejeruhiwa
Hahaha acha utani
 
MABAKULI, ukijaribu kuchunguza utajua kwann vita ya kuchimba soda ash kule lake Natron ilikuwa vita ya Wakenya na si mazingira vingi ya hivyo juu raw material yake ni soda ash kwa sabuni na tooth paste. Lakini still they buy tobacco, tea n coffee from us aside cacao of recently.
Asante Nimepata Picha
 
MABAKULI, ukijaribu kuchunguza utajua kwann vita ya kuchimba soda ash kule lake Natron ilikuwa vita ya Wakenya na si mazingira vingi ya hivyo juu raw material yake ni soda ash kwa sabuni na tooth paste. Lakini still they buy tobacco, tea n coffee from us aside cacao of recently.
Asante Nimepata Picha
 
China ni kipenzi cha watawala Wa kiafrika kwa sababu huwa yeye haingilii maisha ya serikalu na wananchi wake.
Yeye hata ukiamua kuwa unawachinja wananchi wako na kuwapika supu yeye huwa hayamhusu. Mkila rushwa shauri yenu, mkiiba hayamhusu. Lakini waxungu hutaka kuona ustaarabu unasitawi katika Jamii husika
Thats true tena na sasa hivi watawala wa kiafrika wanasaidiana kuwatolea vibass wazungu yaani kama cartel fulani. Wachina ni shida palipo na masilahi utadhani scavengers na tutakuja shtuka resources zote wamejichotea
 
Back
Top Bottom