Uwekezaji toka ughaibuni unamnufaisha nani?

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,007
Tumaini Msowoya
"ARDHI ni uhai. Wanatufukuza katika ardhi yetu tutazalia wapi watoto wetu? Hatuondoki kwenye ardhi hii hata tukipigwa risasi, kutunyang'anya ardhi yetu ni kutuua, hatuondoki. Hawa wawekezaji wanaopora ardhi yetu faida yao nini zaidi ya manyanyaso?

Soma hapa kwa habari zaidi: Uwekezaji toka ughaibuni unamnufaisha nani?
 
Back
Top Bottom