Uwekezaji Singida washika kasi

Uwekezaji Singida washika kasi

Singida mjini kuna viziwa viwili vinazunguka mji wa Singida.Kiziwa kimoja kinaitwa ziwa Singidani sio Singida.Wilaya ya Iramba kuna ziwa kubwa linaitwa Kitangiri.
 
Vijana wazawa wa Singida wameanza kurejea Nyumbani na kufanya uwekezaji mkubwa hasa Ujenzi wa nyumba za kuishi na hotel za kibiashara

REGENCY HOTEL AND RESORT ni Hotel ya kisasa kabisa iliyozinduliwa hivi karibuni na ni moja ya kazi nzuri iliyofanywa na mzalendo na mzawa wa Singida ndugu Raymond Nkingo ambae alienda kutafuta pesa nje ya mkoa wa Singida na Sasa amerudi kuwekeza Nyumbani kwa kujenga hotel ya kisasa kabisa yenye gorofa 9 , Regency Hotel ipo ufukweni mwa Ziwa Singida ikiwa na mandhari mazuri Sana

Uwekezaji wa hotel ni kichocheo kikubwa cha maendeleo mkoani Singida kwa kuwa itasaidia kutoa ajira kwa Vijana, kuvutia wageni na wadau kuwekeza mkoani Singida

Kwa miongo kadhaa wazawa wa Singida wamekuwa na msukumo mdogo kuwekeza Nyumbani, wengi waliofanikiwa kusoma na kupata fedha wamewekeza mikoa ya Arusha na Dar

Tunawakaribisha wadau wote kuja kuwekeza Singida kwani ni centre nzuri ya kibiashara hasa kuelekea mpango wa serikali kuhamia Dodoma

Singida ya jana, sio Singida ya Leo

#Transforming_Singida

View attachment 417107
Ukitukanwa uanze kulialia hapa,hizo 9 au 3?
 
Ni zamu yetu sisi warangi nasi kwenda kuwekeza Kondoa, makao makuu ya nchi yamefika nyumbani, tuende tukaijenge Kondoa yetu sasa.
Kondoa ninyi biashara ya ndege tuu hiyo inawatosheni aisee msijaribu zingine ni ngumu sanaa!!!
 
Vijana wazawa wa Singida wameanza kurejea Nyumbani na kufanya uwekezaji mkubwa hasa Ujenzi wa nyumba za kuishi na hotel za kibiashara

REGENCY HOTEL AND RESORT ni Hotel ya kisasa kabisa iliyozinduliwa hivi karibuni na ni moja ya kazi nzuri iliyofanywa na mzalendo na mzawa wa Singida ndugu Raymond Nkingo ambae alienda kutafuta pesa nje ya mkoa wa Singida na Sasa amerudi kuwekeza Nyumbani kwa kujenga hotel ya kisasa kabisa yenye gorofa 9 , Regency Hotel ipo ufukweni mwa Ziwa Singida ikiwa na mandhari mazuri Sana

Uwekezaji wa hotel ni kichocheo kikubwa cha maendeleo mkoani Singida kwa kuwa itasaidia kutoa ajira kwa Vijana, kuvutia wageni na wadau kuwekeza mkoani Singida

Kwa miongo kadhaa wazawa wa Singida wamekuwa na msukumo mdogo kuwekeza Nyumbani, wengi waliofanikiwa kusoma na kupata fedha wamewekeza mikoa ya Arusha na Dar

Tunawakaribisha wadau wote kuja kuwekeza Singida kwani ni centre nzuri ya kibiashara hasa kuelekea mpango wa serikali kuhamia Dodoma

Singida ya jana, sio Singida ya Leo

#Transforming_Singida

View attachment 417107
Hata kama sijui kuhesabu,hilo jengo halina ghorofa tisa, tusidanganyane
 
Kuna watu umu kazi yao ni ku post tu kila kitu ata kama hakijua hawataki kuangaishi bongo zao,
Ziwa ni mkusanyiko wa maji asili ambayo yako juu ya uso wa dunia, yanaweza kuwa ata ekari mbili na kuendelea,
Kuna kitu inaitwa Ponds (bwana) na ziwa (lake) bwawa linachimbwa lakini ziwa halichimbwa ni maji asili.
 
Huyo atakuwa kahesabu ngazi , sio ghorofa.
 
Humu much know wapo wengi sana eti Sgd watu hawawezi, km mwenyeji nenda Rwezaura bar, Rafiki resort au Kirima bar nk uone watu wanavyotafuna Kuku original, Mbuzi waleoleo watu wanakula maisha mwanzo wa week hadi mwisho wa week labda km watakua wanatumia hela za bibi yako ndio useme hivyo, watu mlishakaririshwa Sgd alizeti imewatoa sana watu, pia madini km Gold, diamonds, Silicon, red tourmaline, gypsum ambayo yapo kwa wingi ukiachana na vitunguu, Kwa mfano tu Dogo anayeimiliki Sgd United anamashimo yakutosha Sambaru na Londoni hata MO watu hawamkumbuki karibu mwaka watatu kaiweka kambini kwa gharama zake Aqua vitae hotel na tafuta msimamo wa FDL uone Sgd unt wapo nafasi ya ngapi.
 
Back
Top Bottom