Uwekezaji Singida washika kasi

Uwekezaji Singida washika kasi

Sikua najua, Kumbe Singida kuna ziwa? Ziwa Singida? Aiseee...!!
Ziwa gani mzushi tu huyo mkuu, singida kuna vibwawa viwili tu , kamoja kanaitwa singidani na kengine kindai..bilasha mlete uzi hajawahitoka nje ya sngda so hajui tofauti ya bwawa na ziwa.
Nimefanyakaz singda mwaka mmoja watu wake bado sana wajua uzinzi tu.
 
Ni zamu yetu sisi warangi nasi kwenda kuwekeza Kondoa, makao makuu ya nchi yamefika nyumbani, tuende tukaijenge Kondoa yetu sasa.
 
Mkuu ni Maziwa kweli au ni mito? hilo ziwa singida linatoka wapi kwenda wapi? I mean linaanzia singida kwenda wapi na linaishia wapi?
Kiuhalisia ukilinganisha na ukubwa wa maziwa kama ambavyo tumezoea kuyaona basi unaweza kuyaita hayo ya Singida" mabwawa makubwa", lakini nadhani yanaweza pia kuitwa "maziwa madogo".
 
Ziwa sio lazima lipakane na nchi, kuna tofaufi ya bwawa na ziwa, mara nyingi maziwa yanaingiza maji kwa mito na kutoa, mfano ziwa victoria linatoa maji kupeleka mto nile na linaingiza maji kutoka mto kagera nk, bahari uwa inapokea maji ya mito, mfano bahari ya Indi, maji ya mito kama wami, Rufiji inaingia baharini haitoi,
Mtu unaposema ziwa lazima lipakane nchi nyingi simuelewi, maana kuna ziwa kama Manyara, Ngono Kagera, Jipe na Chala Kilimanjaro,
Uwekezaji sio lazima ajenge ghorofa ndefu inategemea pesa aliyoingiaza hapo ni kiasi gani, wala hoteli kuwa ya star nyingi na ya kitalii hawaangalii urefu wa ghorofa ni standard ya vitu ilivyonavyo, mfano size ya vyumba na vitu vilivyomo ndani, mapokezi, jiko, restaurant na bar, mazingira yanayozunguka nk.
Nenda TIC uulize wawekezaji wa nje wanatakiwa kuwa na mtaji kiasi gani utacheka, mimi mara ya mwisho kuuliza waliniambia ni usd 300,000, ambayo ni kama Tsh 640,000,000, ambayo hiyo hotel ya Regency Singida imepita.
Tuwa tunawapongeza wanaothubutu sio kubeza, wengi umu wanaobeza wakirudi kwao usiku wanalala wilayani au Mission maana hawana nyumba vijijini kwao.
 
Kuna mapaja ya kuku makubwa balaa, bei chee, hakika tembeo uone mengi.
Watakuwa ndege marabou hao au manhwanhwa maana nimeona paja hiloo nikajiuliza hawa ni kuku au mbuni
Maana bora kuuliza unachokula wengine wanakuambia ukweli kama Dom unaweza kula ulimi wa punda
 
Nimegoogle nimekutana na vibwawa viwili vyenye Viboko(hippo)
 
Sikua najua, Kumbe Singida kuna ziwa? Ziwa Singida? Aiseee...!!
Kabwawa bana, ziwa wapi. Si misifa tu wanajipa
Vijana wazawa wa Singida wameanza kurejea Nyumbani na kufanya uwekezaji mkubwa hasa Ujenzi wa nyumba za kuishi na hotel za kibiashara

REGENCY HOTEL AND RESORT ni Hotel ya kisasa kabisa iliyozinduliwa hivi karibuni na ni moja ya kazi nzuri iliyofanywa na mzalendo na mzawa wa Singida ndugu Raymond Nkingo ambae alienda kutafuta pesa nje ya mkoa wa Singida na Sasa amerudi kuwekeza Nyumbani kwa kujenga hotel ya kisasa kabisa yenye gorofa 9 , Regency Hotel ipo ufukweni mwa Ziwa Singida ikiwa na mandhari mazuri Sana

Uwekezaji wa hotel ni kichocheo kikubwa cha maendeleo mkoani Singida kwa kuwa itasaidia kutoa ajira kwa Vijana, kuvutia wageni na wadau kuwekeza mkoani Singida

Kwa miongo kadhaa wazawa wa Singida wamekuwa na msukumo mdogo kuwekeza Nyumbani, wengi waliofanikiwa kusoma na kupata fedha wamewekeza mikoa ya Arusha na Dar

Tunawakaribisha wadau wote kuja kuwekeza Singida kwani ni centre nzuri ya kibiashara hasa kuelekea mpango wa serikali kuhamia Dodoma

Singida ya jana, sio Singida ya Leo

#Transforming_Singida

View attachment 417107
 
Duuh mku hapo kweli ni ghorofa! 9? mbona mie naona tatu!
 
Ghorofa zuri singida ni lile lenye duka la madawa la BLUE na zilipo ofisi za NHIF ni hayo tu na TRA lilokaa kizamani huyo mzushi aache uongo uwekezaji singida bado litakuwa ni lisisiemu hilo na majengo yao ya Zuluma baada ya vyama vingi 1992 yakashindwa kumalizia maviwanja na majengo
Ni kweli. SINGIDA jengo refu na zuri kwa sasa ni BLUE PLAZA lenye ghorofa 4 ambapo kuna duka la dawa linaitwa. BLUE PHARMACY. Pia kuna lingine linajengwa jovena kona ya kuelekea FFU lina ghorofa 5 likikamilika litakuwa refu kuliko yote SINGIDA.
 
Jibu Swali, hilo ziwa lililopo Singida linatokea wapi kwenda wapi? kwani ukijibu swali utakuaje? kama unajua jibu.

Ziwa Victoria limeunganisha nchi kadhaa, Tanganyika limeunganisha nchi kadhaa, sasa hilo ziwa lililopo singida linapita wapi hadi wapi?

Najua siyo lazima liunganishe nchi kadhaa hilo ziwa kutokana na Formation yake, sasa swali langu hilo ziwa Singida limepita wapi?
Unajua ndugu ukimya nao jibu, angalia umeandika nini sasa?
 
Tatizo watanzania kila mtu ni mjuaji. Ninavyofahamu,ziwa ni maji yaliyojikusanya kiasilia.Hayo mabwawa yana haki ya kuitwa ziwa kama ilivyo kwa ngozi,basutu na eyasi.Tuache kubeza Hoteli yenye hadhi ya nyota si lazima iwe na ghorofa nyingi.Hivyo jamaa alivyowekeza anapaswa kupongezwa.Ok! Singida inajijenga lakini mikoa kama Dar,AR na Dom 60% ya majengo ni ya serikali.why watu tunabeza mdau kuonyesha uzalendo?
 
Mkuu ni Maziwa kweli au ni mito? hilo ziwa singida linatoka wapi kwenda wapi? I mean linaanzia singida kwenda wapi na linaishia wapi?
Kwa Mara ya kwanza nimeona swali lililo chini ya kiwango, ambalo hata ukimuuliza mwanao lazima akushushe hadhi. Naomba uombe msamaha kwa kuuliza swali kama hili kwenye jukwaa hili la Great Thinkers, ambalo limeweza kujijengea heshima yake kwa miaka mingi
 
Kilichosababisha sgd kusahaulika ni UONGO uliojazwa kwenye vichwa vya watanzania kuwa.Sgd ni sehemu mbaya,kame na watu wa ovyo ovyo.Wageni wako wakutosha wala si swala la watu kutowekeza.Leo hii uliza Luxury hotels nyingi utaambiwa nenda Nairobi.Hiyo umbali kutoka nairobi hadi Ngorongoro kwa sasa siyo factor.Hivyo biashara ya hoteli kwa watalii inategemea hadhi na bei ya room zao.Leo hii Hotel nyingi kulala kwa siku 500000.why huyo mtu asitafute hotel ya hadhi hiyo kwa 200000 na kusafiri kwa 100000 kwenda mbugani? Tuache porojo.
 
Back
Top Bottom