Mkuu kama kuna vitu huelewi uwe unatulia.Motivational speakers wanaliangamiza taifa
Wengi waliacha kuuza marudio. Anaenda mwenyewe plant hadi elution. Anauza dhahabu. Wanapiga sana pesa. Akiuza basi kanakuwa kadogo sana.Yanu huku ukilundika kifusi chako majamaa wanakuja wanakuambia unataka gari gani tukupe utupe kifusi unasikia jamaa anasema npe kluger na uongeze m10 maboss hata hawabishi wanamaliza biashara mapema sana kwa sababu kifusi huwa kinapimwa kabsa na kimachinee uhakika wa dhahabu upo %100
Tusibishane kuhusu dhahabuMkuu kama kuna vitu huelewi uwe unatulia.
Motivational speakers wanaliangamiza taifa
Hizi ni nyuzi na kazi 2 tofauti. Crusher inapiga mfuko 1 kwa dk 30 kama jiwe laini, jiwe gumu dk 40-60. Kwa siku wastani wa mifuko 20, tipper linajaa mifuko 200.Nataka kujitosa kwenye biashara ya madini
Ndugu zangu wana jamvi, kijana wenu baada ya mapambano makali hapa mjini, nimeamua kujitosa kwenye Madini lakini nimelenga Mkoa wa Mbeya Wilayani Chunya, Najua issues za Madini ni Bahati, na mimi nimeona nikajaribu bahati yangu. Ninaomba kwa mwenye uzoefu wowote wa Mgodini anipe ili niwe na...www.jamiiforums.com
Kwenye huu uzi unashauri watu waingie kwenye dhahabu tena kwa pesa chini ya 2M huku unapinga wasiingie, unaelewa unachokiengelea wewe?
Hizi ni nyuzi na kazi 2 tofauti. Crusher inapiga mfuko 1 kwa dk 30 kama jiwe laini, jiwe gumu dk 40-60. Kwa siku wastani wa mifuko 20, tipper linajaa mifuko 200.
Ili uingie plant kama rudio linasoma vizuri 5ppm unaweza kuzungusha tank 20 na kwenda elusion iwapo ppm ya carbon itakuwa nzuri, tank 1 linakula tipper 2.5 ya marudio. Unahitaji tipper za Tani 18 kuanzia 45 ili uende plant, kama ppm chini ya 3.5 ambapo ndio wastani wa maeneo mengi kwa tz utahitaji at least tank 30.
Kama unasaga daily na ppm above 4 unaweza kuzalisha hayo marudio kwa miezi isiyopungua 10-24. Kwenda plant is not lelemama hapo bado hujapiga hesabu ya kupakia na kupeleka hizo lorry 45 @ laki 2+, cyanide 7.5m, carbon 7.5m, maji, lime, mishahara, kukodi plant, elusion 4m na mengine

Nyingi zimetelekezwa kwa kukosa mzigo, unaweza kumaliza miezi 6 hata miaka hujapata wa kuchoma. Wakongwe wengi wenye plant wana elution zao binafsi na kawaida huwezi kupeleka carbon kwa mtu usiyemfahamuMimi nafikiri kujenga elution plant, what's your input on that?
Nyingi zimetelekezwa kwa kukosa mzigo, unaweza kumaliza miezi 6 hata miaka hujapata wa kuchoma. Wakongwe wengi wenye plant wana elution zao binafsi na kawaida huwezi kupeleka carbon kwa mtu usiyemfahamu
Machines kama zipi,. Mlolongo mzima wa biashara ya dhahabu ni ya kujuana na kuaminiana, Kuna wauzaji wanauza carbon, cyanide na chemical reagents zisizo na ubora au feki au zilizoexpire Ili wapige super profit na process ya uchenjuaji kosa moja process nzima inaweza kuharibika na hakuna reverse so wengi wamepata hasara ya mamia ya milioni kwa kutumia dawa zisizo na ubora. Kukwepa haya inaaminika fulani ana hiki kizuri hiki kibaya. Mpaka kuaminika inachukua muda mrefu na huwa inaenda kimkopoNimekusoma, na vp uuzaji wa machinery na madawa ya uchenjuaji?