Uwekezaji kwenye new technologies

Uwekezaji kwenye new technologies

zakarya

Member
Joined
Nov 1, 2015
Posts
36
Reaction score
5
Nani ana wazo ya kuwekeza kwenye new technologies ? Lakini kidogo kidogo
 
Fafanua zaidi.

Huko Kenya wamefanya kama silicon valley ya Los Angeles. Lakini Kenya ina tatizo, mambo yanaanza kuwa ghali. Hapa Tanzania tunaweza kuunda HUB panapo vijana wangeweza kufanya videogames au applications.
 
Back
Top Bottom