Uwekaji maji kwenye rejeta ya gari

Uwekaji maji kwenye rejeta ya gari

Kwa uelewa wangu aliyeshauri kutoa thermostart yuko sahihi. Ni kweli pia thermostart inawekwa kwa madhumuni hayo ya kumaintain proper engine working temperture ila hilo linazihusu nchi zenye baridi kali. Kinachofanyika kwenye nchi za baridi ni kuzuwia mzunguko wa maji kwenye engine mpaka pale joto la engine linapopanda kufikia kiwango fulani ndipo thermostart inafungua na kuruhusu maji kuzunguka na kupoza engine. Kwa nchi za joto kama hapa kwetu thermostart inasababisha engine kuchemka na mwishowe coolant/ maji kupungua na ni hatari kwa usalama wa engine. Coolant ikipata exessive tempersture, pressure kwenye radiator nayo inapanda hivyo usishangae leakages za kulazimishwa
Theory yako hai make sense mkuu. Thermostart inafungua katika joto lile lile, iwe jangwani au kwenye barafu. Kwa mantiki hiyo, suala la kuisha kwa coolant itafutwe sababu na sio njia ya mkato, kama thermostart ni mbovu basi itengenezwe au ibadilishwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said, haishauriwi kuondoa thermo starter hasa kwa gari auto ambazo sio cvt, kwani kuondoa thermo starter inasababisha gari kuchelewa kubadilisha gia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndo umetiwa doko kuja kujibu visivyokuhusu?
Wewe jamaa ni muimbaji mzuri wa taarabu. Hongera sana. Sasa hii mipasho yako sijui '' doko'' huku si mahala pake. Mtu akihitaji kujua kitu lazima utambue kuna watu zaidi ya watano watanufaika na majibu ya swali hilo, na kama hauna jibu ni kheri unyamaze uwaache ambao wapo tayari kutoa majibu chanya kwa faida ya wengi..sasa ukianza kuleta ujuzi wako wa kuimba taarabu unawanyima wengine fursa ya kupata elimu.
 
Kwa uelewa wangu aliyeshauri kutoa thermostart yuko sahihi. Ni kweli pia thermostart inawekwa kwa madhumuni hayo ya kumaintain proper engine working temperture ila hilo linazihusu nchi zenye baridi kali. Kinachofanyika kwenye nchi za baridi ni kuzuwia mzunguko wa maji kwenye engine mpaka pale joto la engine linapopanda kufikia kiwango fulani ndipo thermostart inafungua na kuruhusu maji kuzunguka na kupoza engine. Kwa nchi za joto kama hapa kwetu thermostart inasababisha engine kuchemka na mwishowe coolant/ maji kupungua na ni hatari kwa usalama wa engine. Coolant ikipata exessive tempersture, pressure kwenye radiator nayo inapanda hivyo usishangae leakages za kulazimishwa
Thermostat hufanya kazi na engine temperature sensor ambayo huambizana kuhusu kiwango cha joto na muda gani waruhusu coolant kuflow kushusha joto.

So sio kweli kuwa thermostat huwa inakadiria joto na kuamua coolant iflow kwenye engine pekee yake bila sensor kuwa taarifa ya joto... Cha msingi ni vema kujua hivyo vifaa vyote vipo active....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Theory yako hai make sense mkuu. Thermostart inafungua katika joto lile lile, iwe jangwani au kwenye barafu. Kwa mantiki hiyo, suala la kuisha kwa coolant itafutwe sababu na sio njia ya mkato, kama thermostart ni mbovu basi itengenezwe au ibadilishwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa yaani...... Ina maana katika maeneo ya joto itatumia muda mfupi kufunguka sababu joto linapanda haraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haina haja ya kuweka maji ndugu labda yawe yanavuja kama gari mpya nakushauri toa thermostat mi ninayo Toyota passo cjawahi weka maji toka japan mwambie fundi nahitaj toa thermostat.
Kwani atoe Thermostart?
Yaani Inashida gani Thermotart! Na Je, Thermostart ikitolewa haitadhuru mfumo wa AC?
 
mimi kwa uelewa wangu coolant haipungui labda kama kuna leak halafu wabongo tunakosea radiator haiwekwi maji. Watu huweka maji kwa ajili ya ubahili tu hasa wa malori ila gari ndogo usiweke maji, kwanza epuka coolant za kibongo wanajaza maji na rangi nunua za nje. Halafu coolant org haipati joto ata ukiweka kwenye jua.
Hiyo Coolant naijaza kwenye Radiotor au Kwenye Kitenki Chake inatosha?
 
Usitoe thermostat mkuu kwa namna yoyote. Chunguza maji yatakuwa nanavuja sehemu then pazibwe. Kama ni radiator au hose pipes au kifuniko cha radiator vinaweza kuwa sababu. Ukitoa thermostat engine halitakuwa linapata joto lake stahiki na hivyo haitadumu. Thermostat kazi yake ni ku regulate joto la engine lisipungue wala kuzidi. Wametengeneza kwa hesabu mkuu usifanye hilo kosa.
Mkuu, Kuna Uhusiano wowote wa Ulaji wa Mafuta na Thermostart Ikiwemo? Na kuna Namna ya Kuirejeshea kama washenzi walishatoa?
Na vipi Gharama Zake Kuirejesha. Gari yangu waliitoa.
 
Kwa uelewa wangu aliyeshauri kutoa thermostart yuko sahihi. Ni kweli pia thermostart inawekwa kwa madhumuni hayo ya kumaintain proper engine working temperture ila hilo linazihusu nchi zenye baridi kali. Kinachofanyika kwenye nchi za baridi ni kuzuwia mzunguko wa maji kwenye engine mpaka pale joto la engine linapopanda kufikia kiwango fulani ndipo thermostart inafungua na kuruhusu maji kuzunguka na kupoza engine. Kwa nchi za joto kama hapa kwetu thermostart inasababisha engine kuchemka na mwishowe coolant/ maji kupungua na ni hatari kwa usalama wa engine. Coolant ikipata exessive tempersture, pressure kwenye radiator nayo inapanda hivyo usishangae leakages za kulazimishwa
Mkuu, Je kwa Maeneo ya baridi kali kama Njombe na Mbeya nako haifai Kuwemo?
 
Mkuu, Kuna Uhusiano wowote wa Ulaji wa Mafuta na Thermostart Ikiwemo? Na kuna Namna ya Kuirejeshea kama washenzi walishatoa?
Na vipi Gharama Zake Kuirejesha. Gari yangu waliitoa.
Ndio gari inapowashwa engine temperature inakuwa chini hivyo ili ifanye kazi vizuri inabidi iburn more fuel than air ndio maana thermostat ni muhimu ili engine temperature ipande kwa haraka ili mafuta mengi yasichomwe
 
Shukrani Mkuu.

Kuirejesha yaani kuinunua gharama yake inaweza kuwa ngapi?
Gari la Taifa IST.
 
Leo ndo nimejua humuuu ndaniii marejeta wapo wengi ila tofauti yao ni vitendea kazi na ofisii marejeta mpo vizuriii
 
Back
Top Bottom