Ampe Salma Kikwete maana hakuna namna. Inamfaa sana maana ataendeleza juhudi alizozianzisha JK na kumuenzi kwa vitendo.
Pia naibu waziri apewe Riz ili kukamilisha yaliyowahi kunenwa na wahenga.
Nenda mahakamani uone ufisadi wa majaji WanawakeNilikuwa napitiaaa mawaziri waliopitia wizara ya nishati
Kiukweli namwomba mh rais wetu amteue mwanamke kwenye hii nafasi
Naamini hata kama kutakuwa nauwepo wa michezo michafu kwa speed anayoionyesha Mh rais naamini huyo.Mama atakuwa wa kwanza kuwahi ikulu anataka kuhongwa ama kuna harufu haielewi wizarani mwake!!!
Naamini wakiwezeshwa wanaweza namtakia mwanamama yoyote heri na kazi imara kama atateuliwa.