Uwaziri wa Nishati na Madini apewe mwanamke, atakuwa na uchungu na hii nchi!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Nilikuwa napitia mawaziri waliopitia Wizara ya Nishati na Madini. Kiukweli namwomba Mh rais wetu amteue mwanamke kwenye hii nafasi.

Naamini hata kama kutakuwa na uwepo wa michezo michafu kwa kasi anayoionesha Mh rais naamini huyo mama atakuwa wa kwanza kuwahi ikulu endapo anataka kuhongwa ama kuna harufu haielewi wizarani mwake!!!

Naamini wakiwezeshwa wanaweza, namtakia mwanamama yoyote heri na kazi imara kama atateuliwa.
 
Mkuu you can't be serious!!
Hawa wanawake mbona hata benki yao imeshinda kuiongoza na kuisimamia vizuri matokeo yake Mkurugenzi kateuliwa kuwa mwanaume.
NB:
Pesa haina Jinsia Mkuu pia kumbuka wizara ya Nishati na Madini ni wizara nyeti sana.
Try to think beyond the mass mkuu.
 
We jamaa vipi? Nilidhani unasema kuna waziri wa nishati anapaswa kupewa mwanamke. Andika aidha wizara au uwaziri
 
Nakukumbusha tu Saada Mkuya alikua waziri wa fedha wakati watu wanabeba pesa kwenye Sandarusi
 
Nilikuwa napitiaaa mawaziri waliopitia wizara ya nishati

Kiukweli namwomba mh rais wetu amteue mwanamke kwenye hii nafasi

Naamini hata kama kutakuwa nauwepo wa michezo michafu kwa speed anayoionyesha Mh rais naamini huyo.Mama atakuwa wa kwanza kuwahi ikulu anataka kuhongwa ama kuna harufu haielewi wizarani mwake!!!

Naamini wakiwezeshwa wanaweza namtakia mwanamama yoyote heri na kazi imara kama atateuliwa.
Nenda mahakamani uone ufisadi wa majaji Wanawake
 
Tena akipewa ambaye hajaolewa itakua kete nzuri maana wazee wa makinikia watafunga nae pingu za maisha halafu tutashikana uchawi
 
Hao watu unaambiwa hata akiwa nani nilizima awe chini yamume wake.... Unataka kutusainisha mikataba yakimahaba yakupangiwa namume???
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom