Uwaziri wa Muhongo na Mwakyembe unaning'inia

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,701
71,035
Wakuu habari,

Habari hii imetokea kwenye Magazeti ya leo, nimeuleta Uzi huu kwenu ili tujadili kama kweli hawa mawaziri wanastahili adhabu.
Kwa maoni yangu naona profesa Muhongo anaonewa
 
Muhongo ni waziri kishoka anayelihujumu taifa kupitia wizara yake na kuficha mikataba ya kinyonyaji ya gesi na mafuta, Mwakyembe na unafiki wake wote alibariki wizi wa mapato ya serikali kwa kubypass metre akiwa waziri wa miundo mbinu. Magufuli tutolee hawa wasaliti wanakuchafulia serikali yako
 
Magufuli anaweza kufumba macho akamtoa Muhongo lakini hawezi kumtoa Mwakyembe wala hathubutu hata kumjadili kwa sababu kuu 3 : kwanza Mwakyembe ni rafiki yake mkubwa tokea huko nyuma wakiwa mainjinia wakaja kwenye siasa wakawa wizara moja ya Ujenzi mmoja akiwa Waziri mwingine naibu, wanajuana vizuri sana: pili Mwakyembe kwenye kampeni alifanya kazi kubwa sana kuwarubuni Slaa na Lipumba mpaka wakapokea Pesa za Rushwa toka kwa Membe dola million 3.5 yaa slaa dola million 2 na Lipumba 1.5 zilitoka kwenye mfuko wa NIDA na Ule wa marehemu Gadafi ni kazi hiyo ya kuwahujumu ukawa ilimpa nafasi ya Uwaziri kwenye Serikali ya Magufuli, : tatu ile kamati ya Ufundi iliyoletwa na January na Membe toka Gambia na kwingineko Duniani kuja kusaidia kampeni na mambo yao binafsi ipo Dsm na mda mwingi wanakesha kwa Mwakyembe na kwa Membe kuwalinda na dhahama za NIDA kwa upambe wa Membe na kimbunga cha mabehewa mabovu kwa upande wa Mwakyembe ambaye sasa kawabambikia wengine mzigo yeye kajiweka pembeni akiamini Sangoma watamwokoa.
 
Wakuu habari,

Habari hii imetokea kwenye Magazeti ya leo, nimeuleta Uzi huu kwenu ili tujadili kama kweli hawa mawaziri wanastahili adhabu.
Kwa maoni yangu naona profesa Muhongo anaonewa
Lakini kwanini kila siku iwe yeye tuu? Ana damu ya kunguni au ni wivu tu wa wapinzani wake? Ambao hata hivyo hawajulikani ni akina nani
 
Magufuli anaweza kufumba macho akamtoa Muhongo lakini hawezi kumtoa Mwakyembe wala hathubutu hata kumjadili kwa sababu kuu 3 : kwanza Mwakyembe ni rafiki yake mkubwa tokea huko nyuma wakiwa mainjinia wakaja kwenye siasa wakawa wizara moja ya Ujenzi mmoja akiwa Waziri mwingine naibu, wanajuana vizuri sana: pili Mwakyembe kwenye kampeni alifanya kazi kubwa sana kuwarubuni Slaa na Lipumba mpaka wakapokea Pesa za Rushwa toka kwa Membe dola million 3.5 yaa slaa dola million 2 na Lipumba 1.5 zilitoka kwenye mfuko wa NIDA na Ule wa marehemu Gadafi ni kazi hiyo ya kuwahujumu ukawa ilimpa nafasi ya Uwaziri kwenye Serikali ya Magufuli, : tatu ile kamati ya Ufundi iliyoletwa na January na Membe toka Gambia na kwingineko Duniani kuja kusaidia kampeni na mambo yao binafsi ipo Dsm na mda mwingi wanakesha kwa Mwakyembe na kwa Membe kuwalinda na dhahama za NIDA kwa upambe wa Membe na kimbunga cha mabehewa mabovu kwa upande wa Mwakyembe ambaye sasa kawabambikia wengine mzigo yeye kajiweka pembeni akiamini Sangoma watamwokoa.
Uongo mwakyembe hajawahi kusoma Kozi yoyote ya engineering hapa duniani.nenda kadanganye Facebook
 
JF bhana mtu anashusha nondo unaweza fikiria ni kweli! kumbe anapamba jukwaa tu! Mwakyembe sio injinia kwa nijuavyo mimi,kasomea sheria.pili takwimu za mgao wa fedha zina ukakasi kwakuwa Membe na Magu hawako pamoja kivile.pia Dr mihogo nyumba yake imeuzwa majuzi.angekuwa na mgao huo angelipa isiuzwe!
 
ww soma cv yake Mwakyembe utaamini ninachokuambia vyote vyote anavyo
 
Magufuli anaweza kufumba macho akamtoa Muhongo lakini hawezi kumtoa Mwakyembe wala hathubutu hata kumjadili kwa sababu kuu 3 : kwanza Mwakyembe ni rafiki yake mkubwa tokea huko nyuma wakiwa mainjinia wakaja kwenye siasa wakawa wizara moja ya Ujenzi mmoja akiwa Waziri mwingine naibu, wanajuana vizuri sana: pili Mwakyembe kwenye kampeni alifanya kazi kubwa sana kuwarubuni Slaa na Lipumba mpaka wakapokea Pesa za Rushwa toka kwa Membe dola million 3.5 yaa slaa dola million 2 na Lipumba 1.5 zilitoka kwenye mfuko wa NIDA na Ule wa marehemu Gadafi ni kazi hiyo ya kuwahujumu ukawa ilimpa nafasi ya Uwaziri kwenye Serikali ya Magufuli, : tatu ile kamati ya Ufundi iliyoletwa na January na Membe toka Gambia na kwingineko Duniani kuja kusaidia kampeni na mambo yao binafsi ipo Dsm na mda mwingi wanakesha kwa Mwakyembe na kwa Membe kuwalinda na dhahama za NIDA kwa upambe wa Membe na kimbunga cha mabehewa mabovu kwa upande wa Mwakyembe ambaye sasa kawabambikia wengine mzigo yeye kajiweka pembeni akiamini Sangoma watamwokoa.
Kweli hawezi kumgusa, kwani walikua wote na walikula wote, atamgusaje?. yale maneno yanatimia anawafukuza kwa sababu hakuwateua hivyo hawajui, ngoja tuone aliowachagua wakifanya makosa, wakituhumiwa kwa wizi atawafukuza? kwani huo wizi wote na haujui ndani ya sirikali? aliyekaa ktk baraza la mawaziri miaka 20 inawezekanaje asijue kama si usanii na kuwadanganya wajinga?
 
Wakuu habari,

Habari hii imetokea kwenye Magazeti ya leo, nimeuleta Uzi huu kwenu ili tujadili kama kweli hawa mawaziri wanastahili adhabu.
Kwa maoni yangu naona profesa Muhongo anaonewa

Hebu tueleze kwanini unasema anaonewa¿¿¿
 
K
Kwamba mwakyembe hajawahi kusoma engineering,Kwa kukusaidia mwakyembe kasoma diploma ya uhandishi wa Habari TSJ ,degree hadi PHD kasoma sheria.
mwakyembe amefanya sana hizo kazi za uinjinia haijalishi kama alisomea au alikuwa akitumia ujanja ujanja wa town kama ilivyokuwa kwa Watanzania wengi alikuwa kwenye kampuni ya meco na zinginezo kadhaa, pengine zilikuwa ni mbinu za kusaka tonge, turudi kwenye hii ya mabehewa mabovu hivi unadhani Magufuli atathubutu kumgusa? Naomba ulifafanue hilo?
 
Magufuli anaweza kufumba macho akamtoa Muhongo lakini hawezi kumtoa Mwakyembe wala hathubutu hata kumjadili kwa sababu kuu 3 : kwanza Mwakyembe ni rafiki yake mkubwa tokea huko nyuma wakiwa mainjinia wakaja kwenye siasa wakawa wizara moja ya Ujenzi mmoja akiwa Waziri mwingine naibu, wanajuana vizuri sana: pili Mwakyembe kwenye kampeni alifanya kazi kubwa sana kuwarubuni Slaa na Lipumba mpaka wakapokea Pesa za Rushwa toka kwa Membe dola million 3.5 yaa slaa dola million 2 na Lipumba 1.5 zilitoka kwenye mfuko wa NIDA na Ule wa marehemu Gadafi ni kazi hiyo ya kuwahujumu ukawa ilimpa nafasi ya Uwaziri kwenye Serikali ya Magufuli, : tatu ile kamati ya Ufundi iliyoletwa na January na Membe toka Gambia na kwingineko Duniani kuja kusaidia kampeni na mambo yao binafsi ipo Dsm na mda mwingi wanakesha kwa Mwakyembe na kwa Membe kuwalinda na dhahama za NIDA kwa upambe wa Membe na kimbunga cha mabehewa mabovu kwa upande wa Mwakyembe ambaye sasa kawabambikia wengine mzigo yeye kajiweka pembeni akiamini Sangoma watamwokoa.

Kweli JF kuna viazi wengi.

1. Mwakyembe sio Injinia ni Mwanasheria.

2. Magufuli sio Injia ni Mwalimu

3. Hizo takwimu za mgao zina ukakasi...
 
Back
Top Bottom