Uwaziri Mkuu waitesa CCM

Uwaziri Mkuu waitesa CCM

sio URAIS tena.

shida ya hii nchi ni maarifa duni na exposure kwenye vichwa vya watu ndio maana hela zote zimeamishiwa kwenye siasa na kila mtu anataka kuwa mwanasiasa ili azipate hizo hela.
 
Hakuna cha makamba wala sijui yupo good.

Mseme tu wazi jamii ya watu wa style ya kina makamba ni mwendo wa kuramba asali tu, and mnaogopa jiwe style.
 
Watu tunapanga kuifukuza CCM itokomee hukoooo!

Halafu wengine mnawaza upumba wa ki-CCM ?

Shame on all of you Asali boys!
 
Tumechoka kutawaliwa na chama kimoja kwa zaidi ya nusu karne, tunaonekana kama mazezeta vile.

Watu wanaokuja na mawazo kama hayo ya kutabiri waziri mkuu wa kutoka ccm ni wale wale wenye fikra finyu ya kufikiri kwamba Tanzania ni ccm na ni watu wenye upeo mdogo sana wanaonufaika na uwepo wa hicho chama madarakani huku wananchi walio wengi wakisota.
 
Bado Thread Iko Active Muda Huu Katelefoni Anaundiwa Zengwe
 
Bado Thread Iko Active Muda Huu Katelefoni Anaundiwa Zengwe
Umenikumbusha juzi nimeona uzi unauliza, hivi akiondoka Chongolo nani atafaa kuwa Katibu Mkuu CCM?

Nikaona ubuyu unapikwa huu, hee, sijakaa sawa, naona Chongolo kajiuzulu.

Yani hata masaa 24 hayakupita.
 
Umenikumbusha juzi nimeona uzi unauliza, hivi akiondoka Chongolo nani atafaa kuwa Katibu Mkuu CCM?

Nikaona ubuyu unapikwa huu, hee, sijakaa sawa, naona Chongolo kajiuzulu.

Yani hata masaa 24 hayakupita.
Mkuu
Habari Ya Chongolo, Makonda, Kassim Na Wengine Zipo Tangu June Hapa JF
Tunaifuatilia Tunaona Utimilifu Wa Yaliyosemwa
 
Back
Top Bottom