Uwaziri Mkuu waitesa CCM

Uwaziri Mkuu waitesa CCM

Hivi hili gazeti likiombwa ushahidi wa huu upuuzi ulioandikwa hapa linao?

Hivi hili gazeti likifungiwa litalalamika kuwa hakuna Uhuru wa vyombo vya habari Tanzania?
 
CCM haianzishi Mgogoro usio la lengo

Richmond ilianzishwa kummaliza Lowassa

huu. Mgogoro una lengo la kula vichwa kadhaa
 
Vita ya kuteuliwa kuwa Waziri mkuu ni kubwa muno hivi sasa ndani ya CCM kuelekea 2025, mara baada ya kuwekwa wazi kwamba Rais Samia atagombea tena kiti cha urais 2025 ili kukamilisha hawamu yake ya sita.

"Miongoni mwa vigogo wanaotajwa kunyemelea kiti cha uwaziri mkuu ni Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba na Waziri wa fedha Mhe. Mwigulu Nchemba", limeandika gazeti la Raia Mwema.

View attachment 2352533
Hivi ni nani aliye wahakikishia ccm kuwa huyo mzanzibari atafika 2025
 
Vita ya kuteuliwa kuwa Waziri mkuu ni kubwa muno hivi sasa ndani ya CCM kuelekea 2025, mara baada ya kuwekwa wazi kwamba Rais Samia atagombea tena kiti cha urais 2025 ili kukamilisha hawamu yake ya sita.

"Miongoni mwa vigogo wanaotajwa kunyemelea kiti cha uwaziri mkuu ni Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba na Waziri wa fedha Mhe. Mwigulu Nchemba", limeandika gazeti la Raia Mwema.

View attachment 2352533
Usitutoe kati ajenda ya tozo
 
Kama CCM inateswa na Mtu Kilaza kama January basi ni Chama dhaifu sana
 
Back
Top Bottom