Uwaziri Kweli Mtamu, Muda Mfupi Watu Wananona!

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,793
71,206
Kwa wale waliokuwa wanamfahamu Mhe. Juliana Shonza watakubaliana nami kuwa kumbe uwaziri ni dili nzuri hasa katika kujenga mwili ili unone.
Shonza hakika sasa amejazia kiasi kuwa hata yule mwenzetu mpenda rangi ya chungwa (mr Njaa)lakini akawa ana sita kwa vile hakuna bambata sasa atakuwa tayari kutia timu na kumwaga mashairi kidogo.
cc.@Pascal Mayalla
Inst-image-1.jpg
 
Hahahah

Hata Ally Hapi Kama ulikuwa unamjua wakati ule yupo UV CCM kwenye Kampeni za 2010 Na 2015 utadhan Yule wa 2010 Na 2015 alikuwa Mkubwa kuliko wa Leo 2018!
Njaa zinazeesha Vijana wanakuwa watu wazima kabla ya Umri wao

King'amuzi changu Cha DSTV kinaonesha Shonza tayari kaanza kulamba udongo Na embe chachu
 
King'amuzi changu Cha DSTV kinaonesha Shonza tayari kaanza clinic
Mkuu hivi na mimi nikijiunga UV CCM naweza kubahatika hata ka ukurugenzi? Au nianzie kwanza BAVICHA halafu nije nihame kama Shonza?, hebu nishauri mkuu, maana sina kabisa ndururu.
 
Hahahah

Hata Ally Hapi Kama ulikuwa unamjua wakati ule yupo UV CCM kwenye Kampeni za 2010 Na 2015 utadhan Yule wa 2010 Na 2015 alikuwa Mkubwa kuliko wa Leo 2018!
Njaa zinazeesha Vijana wanakuwa watu wazima kabla ya Umri wao

King'amuzi changu Cha DSTV kinaonesha Shonza tayari kaanza kulamba udongo Na embe chachu

Nyavu zimeshatikisika na refa anaonyesha mpira uwekwe kati
 
Kwa wale waliokuwa wanamfahamu Mhe. Juliana Shonza watakubaliana nami kuwa kumbe uwaziri ni dili nzuri hasa katika kujenga mwili ili unone.
Shonza hakika sasa amejazia kiasi kuwa hata yule mwenzetu mpenda rangi ya chungwa (mr Njaa)lakini akawa ana sita kwa vile hakuna bambata sasa atakuwa tayari kutia timu na kumwaga mashairi kidogo.
cc.@Pascal MayallaView attachment 777054
Wajuzi.semeni.mm naona mashavu yameshuka kama.vile kashiriki mwili mmoja
 
Mkuu hivi na mimi nikijiunga UV CCM naweza kubahatika hata ka ukurugenzi? Au nianzie kwanza BAVICHA halafu nije nihame kama Shonza?, hebu nishauri mkuu, maana sina kabisa ndururu.

Anzia ACT wazalendo then nenda Chadema waambie umegundua Zitto anaiba Siri za Chadema Na anawapelekea CCM, fasta fasta utaundiwa kurugenzi ili tu upate Cheo

Wenzio kina Yericko walipata Umaarufu Kwa kupeleka Maneno ya uongo Kwa Slaa Kuwa Zitto ndio anaiba Siri za Chama anampelekea Kikwete, Nyota ya Yericko ilififia Chadema baada ya Zitto kufukuzwa Chadema Na Slaa kususa,

Siku hizi Maskini ya Mungu analima zake Majani ya Kunde Na Msusa Kigamboni
 
Chadema wamekosa ya kujadili mpaka wanajadili unene wa waziri..
Acha ushamba wewe! Unajua hili jukwaa gani? Ndio nyie hata kule jukwaa LA wakubwa mnataka kumsifu sizonje
 
Anzia ACT wazalendo then nenda Chadema waambie umegundua Zitto anaiba Siri za Chadema Na anawapelekea CCM, fasta fasta utaundiwa kurugenzi ili tu upate Cheo

Wenzio kina Yericko walipata Umaarufu Kwa kupeleka Maneno ya uongo Kwa Slaa Kuwa Zitto ndio anaiba Siri za Chama anampelekea Kikwete, Nyota ya Yericko ilififia Chadema baada ya Zitto kufukuzwa Chadema Na Slaa kususa, Siku hizi Maskini ya Mungu analima zake Majani ya Kunde Na Msusa Kigamboni
Hahahaha..kweli mkuu siasa ni jamani kitivo cha unafiki.
 
Kwa wale waliokuwa wanamfahamu Mhe. Juliana Shonza watakubaliana nami kuwa kumbe uwaziri ni dili nzuri hasa katika kujenga mwili ili unone.
Shonza hakika sasa amejazia kiasi kuwa hata yule mwenzetu mpenda rangi ya chungwa (mr Njaa)lakini akawa ana sita kwa vile hakuna bambata sasa atakuwa tayari kutia timu na kumwaga mashairi kidogo.
cc.@Pascal MayallaView attachment 777054
dah, huyu dada kumbe ni mtu mzima kiasi hiki?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom