Je wadada unaweza kuwa wazi kwa mpenzi wako kwamba haufurahii tendo la ndoa, au hujaridhika u need some more, au unahitaji kitu fulani kwenye mapenzi na yeye hakijui na wewe ndio furaha yako lakini kumwambia inakuwa tabu?
Natoa mfano kuna rafiki yangu mmoja jina kapuni alikuwa na uhusiano na mtu week mbili zimepita wamefanya mapenzi rafiki yangu aliniambia alienjoy tendo ila hakuridhika na round mmoja aliyopewa.
Me nikamshauri amwambie mshikaji duuh kumwambia imekuwa tabu jamaa toka siku hiyo hataki kumsikia tena huyo dada.
je wanaume hamjisikia vizuri mkiambiwa mpo chini ya kiwango rutubisha na wanawake je?
Lara1, Ladyfuraha