BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Shukrani rafiki, mie niliwahi kufanya kazi na binti ambaye hili lilikuwa jina lake na baadhi ya officemates waliwahi kumuhoji kuhusu maana ya jina hili na kama ni la jinsia KE au linaweza kutumika na jinsia zote. Alijibu vizuri sana na hayo maelezo yako pia aliyatumia.
Nakubali pia rafiki, wanawake wengi hulitumia....ila ni muunganiko wa maneno mawili ya kiswahili somo-yake/ au somo-wake ..somoye/somoe
..watu wawili wenye jina linalofanana. Mfano kungekuwa na chujio mwingine, wangeweza kumuita somoye/somoe kwasababu anakuwa somo wangu