Uwazi kwenye tendo la ndoa

Uwazi kwenye tendo la ndoa

ahsante mleta mada ndugu somoye....hii shida imevunja ndoa na mahusiano kibao.....jamani maisha ya sasa ni kuambiana black and white...usiposema kama ujaridhika utamfanya mwezio aendelee kujiamin kumbe ndo kwanza anakupandisha nyege then anakuacha njiani mwishowe unatafuta mateja na wahuni kumbe tatizo ni kutosema unavyojickia jaman unaona aibu kusema kweli???...sa kama mke/mpenzi wako unashindwa kumwambia ukweli juu ya tendo nani wa kumwambia ili akuridhishe????tuambizane ukweli tutafurahia maisha...
 
Back
Top Bottom