habari zenu wanajf
hivi kwa nini wanaume na wanawake tunakuwa wahongo kwenye mahusiano japo sio wote ila wengi wetu.
kama tungekuwa wawazi kwenye mahusiano yetu nadhani hii dunia ingekuwa kama peponi vile,ila watu uhongo uhongo tu kila kukicha
wewe kama una mume/mke/mpenzi kwanini udanganye watu wengine,kama vile huyo uliyenaye hakutosheleza si bora umwambie tu nae ataelewa ili aendelee na maisha yake.
wahongo siku zote mwisho wa siku uishia kuumbuka na kuwa guilty na kujilaumu kutokana na makosa waliyoyafanya.so tujaribu kuwa wawazi ili tuwe na furaha ya milele.mfungo mwema
kwani uongo unakujaje?
mkiwa wawili ni bora kuambiana ukweli, ila ukitoka nje lazima umsifie mwenzio kulinda heshima ya ndoa yenu coz nyie ni mwili mmoja. Ila sio lazima kusema ukweli kwa kila kitu.......... ni bora kukaa kimya kuliko kusema uongo au ukweli utakao muumiza na kumfedhehesha mwenzio... halooo!
sijui kwa nini nikisoma hiyo 'uhongo' pumzi inaniishia
yes mkuu ni waongo na sio wahongo kiswahili bwana tabu kweli kweli
Wanasema uongo kidogo hung'arisha penzi