Uchaguzi 2020 Uwasilishaji wa sera za CHADEMA umeshiba na ndio unaoleta kizaazaa Lumumba

Mwamba hakufanya vizuri form 6, pamoja na kua na historia ya kufukuzwa shule na kwenda kusoma shule zingine, kama ulikua hauna taarifa alikuaga ni mwalimu wa chemistry pata taarifa mkuu
Duh kweli hii taarifa mpya basi kunauuusiano mkubwa na namna anavyofanya presentation yake, kuwa mwalimu plus mwanasheria tena msomi hapo lazima umwelewe tu hata kama wewe ni mbumbumbu

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nchi ilitakiwa iwe na vichwa kama lissu ata laki 5. kwa hakika taifa lingefika mbali.maana lissu sio mchoyo wa kile anachokijua kuanzia historia,sheria hadi haki na wajibu wa kila mtu.Anapiga kampeni uku anakupiga darasa utoke kwenye lindi la ujinga ili uwe mtu muhimu wakuijenga nchi.safi sana.
 
nkismama katika ukweli then lissu has nothing cha maaana kinachotoka kwenye hizo lipstick zake! mbowe na kutkojua kusoma kwake but he has wisdom, mara nyingi sana anakua hakubaliana na magufuli lakini anajua how to present his ideas!
- For lissu kati ya kopo la cdm kuwahi kutokea ndo lissu sasa to the extent hata mwanzilishi wa chadema mwenyewe edwin mtei hakubaliana nae, such a waste for chadema! uchaguzi umepotea kihovyo kabisa
Siyo lazima wakubaliane. Mahitaji ya kisiasa ya sasa ndiyo jambo la msingi zaidi. Mtei naye ni lazima akubaliane na uhalisia
 
ngoja niongee pointi zangu kwa volume kubwa...

1. kuhamasisha kupiga kura - doable
2. kura zihasebiwe vituoni - doable
3. wawakilishi kuhesabu kura - doable
umenena mkuu. Suala la kulinda kura na kuhakikisha ushindi ni la wananchi wenyewe. Tundu Lissu peke yake hawezi kulinda kura nchi nzima
 
Siyo lazima wakubaliane. Mahitaji ya kisiasa ya sasa ndiyo jambo la msingi zaidi. Mtei naye ni lazima akubaliane na uhalisia

mahitaji ya siasa ni yale yale hayawezi kubadilika na reason ya kuanzisha chama inatakiwa iwe straight forward, sio leo mnasema hiki kesho kile kesho kutwa kile, mnakua hamueleweki
 
Back
Top Bottom