Uchaguzi 2020 Uwasilishaji wa sera za CHADEMA umeshiba na ndio unaoleta kizaazaa Lumumba

Kuna tofauti kati ya fasihi Andishi na Simulizi. Sera za vyama zimeandikwa na kuchambuliwa kwenye vitabu. Ukiachilia mbali kwamba sio wote wanaweza kupata vitabu hivyo lakini pia sio wote wanaoweza kusoma wakaelewa.

Tundu LISU anatumia muda wake mwingi wa kampeni kunadi sera zake kwa njia ya UHALISIA " Realities " .Jambo hili linawakera sana CCM kwa sababu anachofanya ni kama mwalimu anavyofundisha darasani.

Anaanza kueleza tatizo kwa kulitaja ..Kwa mfano ugomvi wa wakulima na wafugaji. Baada ya hapo anaeleza chanzo cha tatizo hilo..Mfano" Ardhi kubwa kumilikiwa na viongozi wakubwa au kampuni kadhaa na hapa anawataja kwa majina.

Baada ya hapo anaeleza jinsi walivyopata ardhi hiyo,kama ni kwa minajili ya vyeo vyao au kuuziwa isivyo halali au halali. Pia hueleza faida au hasara ya watu hao kujimilikisha ardhi hiyo.

Mwisho anarudi kwenye suluhisho kwa mujibu wa SERA za Chadema au kwa mujibu wa sheria za nchi ili kuonyesha UDHAIFU na kutowajibika kwa viongozi waliopo.

Huu ni uwasilishaji BORA kabisa wa SERA mpya na ambazo wananchi hawajazizoea au kuzielewa vizuri.

CCM na Tume (CCM) hawakutegemea kuona uwasilishaji huu. Walitamani awe anasoma kama ilivyoandikwa kwenye kitabu. Lakini pia walipenda waone uwasilishaji huo uwe kama alivyofanya Lowasa(2015) ,Dr Slaa(2010) au Freeman Mbowe (2005) ambao walikua wanazisema juu juu bila mifano hai inayowagusa wananchi wa eneo husika.

Hongera Tundu Lissu! shikilia hapohapo watu wanakuelewa sana na pia unawavuruga watu wa Lumumba. Hawana uwezo wa kujibu hoja zako,wanaishia kuandika "Magufuli 5 Tena".
Wavune uonevu waliopanda,na matunda machungu ambayo hawakutarajia. Lakini inawabidi wayakubali.
 
Sasa Unasema Ccm Hoyee
Watu Wanakunyooshea Vidole Viwili Juu
Mgombea Nafasi Ya Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Kwa Tiketi Ya Chama Dola

Ndugu yangu wanaweza kumzisha babu yule.

Wananchi wakali saivi hawati stori za ndege na vidaraja eti

IMG_20200916_154112.jpeg
 
Angalia Mungu alivyotuvusha kwenye janga la Corona baada ya kumpa Magufuli maono.

Uyo Lissu wenu alikua anaandika ngonjera tu mitandaoni.
Nani kakudanganya?

Chaguo la Mungu kwa kupoteza uhai kina Ben, Azory? Na vile viroba vya maiti coco beach? Akwilina nk...

Chaguo la Mungu kuwatesa na kumbambikia kesi watu kina mdude, Tito, Nusrat, Twaha etc?

Chaguo la Mungu kuwatesa masheikh mahabusu?

Chaguo la Mungu kuwapora passports mapadre na maaskofu wanasema ukweli?

Embu kalale.

Ni yeye
IMG_20200915_200437.jpeg
 
Attachments

  • IMG_20200915_200437.jpeg
    IMG_20200915_200437.jpeg
    90.3 KB · Views: 1
Nani kakudanganya?

Chaguo la Mungu kwa kupoteza uhai kina Ben, Azory? Na vile viroba vya maiti coco beach? Akwilina nk...

Chaguo la Mungu kuwatesa na kumbambikia kesi watu kina mdude, Tito, Nusrat, Twaha etc?

Chaguo la Mungu kuwatesa masheikh mahabusu?

Chaguo la Mungu kuwapora passports mapadre na maaskofu wanasema ukweli?

Embu kalale.

Ni yeyeView attachment 1571808
Hizo ni tuhuma tu na kwa vile huna ushahidi zinabaki kuwa tuhuma tu bwashee.
 
nkismama katika ukweli then lissu has nothing cha maaana kinachotoka kwenye hizo lipstick zake! mbowe na kutkojua kusoma kwake but he has wisdom, mara nyingi sana anakua hakubaliana na magufuli lakini anajua how to present his ideas!
- For lissu kati ya kopo la cdm kuwahi kutokea ndo lissu sasa to the extent hata mwanzilishi wa chadema mwenyewe edwin mtei hakubaliana nae, such a waste for chadema! uchaguzi umepotea kihovyo kabisa
Unaumia ndg ???
 
Ila kweli 5yrs unafanya kazi peke yako harafu anakuja mtu ambaye hajawafanyia wananchi hata uniti moja ya umeme lakini wanamshabikia yeye?
Ndio Hapo tena wameenda mbali wanzoemea "HATUKUTAKIIIII"

Dah, watamuaa mzee wa watu na best yake hayupo ni marehemu.

IMG_20200916_154112.jpeg
 
😂 😂 😂 lissu amesoma HKL magu amesoma PCM (PHD), ushawahi ona wap mtu wa pcm anahangaika na kuandika IMLA? magufuli knows how to handle a crisis scientifically i.e corona, lissu anajua kuandika IMLA ya corona! ni sawa na useme doctor ajifunze kuandika, who has time for that?

- viongozi wengi wa chadema hawajaenda shule, mfano mwenyekiti, lema! wnajua kuongea kihuni for that i agree but they can never handle anything as simple as economics
Lissu alisoma HGE Galanos tanga alipiga Div 1 kali sana...huyo mwamba sijui alisomaga wapi ila akaenda Diploma ualimu
 
Kuna tofauti kati ya fasihi Andishi na Simulizi. Sera za vyama zimeandikwa na kuchambuliwa kwenye vitabu. Ukiachilia mbali kwamba sio wote wanaweza kupata vitabu hivyo lakini pia sio wote wanaoweza kusoma wakaelewa.

Tundu LISU anatumia muda wake mwingi wa kampeni kunadi sera zake kwa njia ya UHALISIA " Realities " .Jambo hili linawakera sana CCM kwa sababu anachofanya ni kama mwalimu anavyofundisha darasani.

Anaanza kueleza tatizo kwa kulitaja ..Kwa mfano ugomvi wa wakulima na wafugaji. Baada ya hapo anaeleza chanzo cha tatizo hilo..Mfano" Ardhi kubwa kumilikiwa na viongozi wakubwa au kampuni kadhaa na hapa anawataja kwa majina.

Baada ya hapo anaeleza jinsi walivyopata ardhi hiyo,kama ni kwa minajili ya vyeo vyao au kuuziwa isivyo halali au halali. Pia hueleza faida au hasara ya watu hao kujimilikisha ardhi hiyo.

Mwisho anarudi kwenye suluhisho kwa mujibu wa SERA za Chadema au kwa mujibu wa sheria za nchi ili kuonyesha UDHAIFU na kutowajibika kwa viongozi waliopo.

Huu ni uwasilishaji BORA kabisa wa SERA mpya na ambazo wananchi hawajazizoea au kuzielewa vizuri.

CCM na Tume (CCM) hawakutegemea kuona uwasilishaji huu. Walitamani awe anasoma kama ilivyoandikwa kwenye kitabu. Lakini pia walipenda waone uwasilishaji huo uwe kama alivyofanya Lowasa(2015) ,Dr Slaa(2010) au Freeman Mbowe (2005) ambao walikua wanazisema juu juu bila mifano hai inayowagusa wananchi wa eneo husika.

Hongera Tundu Lissu! shikilia hapohapo watu wanakuelewa sana na pia unawavuruga watu wa Lumumba. Hawana uwezo wa kujibu hoja zako,wanaishia kuandika "Magufuli 5 Tena".
October 28
 
Back
Top Bottom