Uwasaidie wasiharibu huduma uliyowapa

Angelikuwa Pastor mbongo(weusi) nahakiki pasingekalika hapo kwa kishindo cha bwana harusi.
 
Hahaaa sasa kwa nini jamaa naye kakubali kuzibwa macho?

Nani sasa aliye mwerevu na aliye ju.ha hapo?

Mtu unazibwa macho na wewe unakubali tu ka zuzu....welp....ni dhahiri kwamba ni zuzu.
 
Reactions: ydn
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…